Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Daah hivi ndoa ni muhimu kiasi hiki kwa wadada eh! Huyu joyce tangu namjua yeye stor zake ni za kuolewa tu!!
 
Daah hivi ndoa ni muhimu kiasi hiki kwa wadada eh! Huyu joyce tangu namjua yeye stor zake ni za kuolewa tu!!

Kuna watu ndoa kwao ndio kila kitu, wengine watoto ndio kila kitu, wengine elimu ndio kila kitu, wengine kumiliki nyumba ndio kila kitu kwao

Wanadamu tunatofautiana kwenye vipaumbele
 
Huyu nae kama Dida tu mbwembwe nyingi mwisho wa siku ndoa chali.
 
Hainaga uchafu ile[emoji28][emoji28][emoji28]

Ndio maana hata hapo kwako unapopaamini wewe unaweza kuta wenzio wanapita mchana na wewe usiku unapata flavor ileile

Tuwatakie heri
Mama D uchafu upo. Wekà vidole halafu unuse.....au mkono unuse, then nambie Sasa hivi imepata harufu gani
 
mwacheni dada wa wa watu ajipe furaha.

maisha yenyewe mafupi haya. haiwezekani wakati wa mateso yako watesi wako wote walikuwa wanajua na kuona vile anavyopigika.

halafu wakati wa kula bata watesi wako walewale hawataki ule raha hadharani. wanataka ule raha kwa kujifichaficha. wanakusimanga kwa namna unavyojipa furaha waziwazi.
 
Huyu dada sijui ni mama sio mfano mzuri wa kuigwa, ana matukio ambayo nisingependa mabinti wenye malezi sahihi wa kitanzania wamfuatilie na kumuiga au kumsikiliza.
Ni vile humu nchini kuwa maarufu ni jambo lisilotegemea na umuhimu wa unachofanya ila hakupaswa hata kufunguliwa thread.

Abadilike, umri umeenda pia.
 
Namtakia heri mahusiano yawe ya kudumu
 
Huyu dada sijui ni mama sio mfano mzuri wa kuigwa, ana matukio ambayo nisingependa mabinti wenye malezi sahihi wa kitanzania wamfuatilie na kumuiga au kumsikiliza.
Ni vile humu nchini kuwa maarufu ni jambo lisilotegemea na umuhimu wa unachofanya ila hakupaswa hata kufunguliwa thread.

Abadilike, umri umeenda pia.

Unawaambiaje wanaume wanaoendelea kumwona anafaa?
 
Hiyo ni furaha ya kuigiza tu, hapo anataka ulimwengu ujue amepata mtu sahihi zaidi ya X wake.
Ni kwanini unadhani wanaigiza?? Mbona vitu alivyofanya hapo ni vya kawaida tu kwenye mahusiano??
 
As long as huna ushahidi,hujui, them huna sababu ya kuwa na kinyaa. Merciful anajulikana kuwa kaachika Mara 10, vyuo Kumi wenzetu wanaita, nawe unajimwaga humo! Kinyaa
Usiusemee moyo Mkuu. Chongo kwako kwa mwenzio sio. Kila mtu apambane na hali yake. Kama una roho nyepesi unatafuta njia ya kusepea. Huu mchezo hauhitahi hasira!!
 
Back
Top Bottom