Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Hajawahi shauri mtu avunje ndoa yenye afya ila huwa anasema ukiona ndoa inataka kukuingiza kuzimu wachana nayo. Kitu ambacho ni kweli na sio kwa wanawake tuu hata kwa wanaume
Labda nikusaidie kufunguwa code za Joyce kiria.

_Anaposema ukiona ndoa inakusumbuwa basi achana nayo,.basi kaa ujuwe kwamba Joyce kiria anahitaji wenzie wakuwa nao kwenye hilo kundi ovu.

Ukwl ni kwamba hakuna mwanamke yeyote mwema anayeolewa na kuachwa kila uchwao.
Mwanamke mwenye mahusiano na wanaume wengi sio sifa nzuri bali ni uchafu mtupu afanyao Joyce.
 
Hiyo ni furaha ya kuigiza tu, hapo anataka ulimwengu ujue amepata mtu sahihi zaidi ya X wake.
Hizo code za Joyce nilishazitambuwa kitambo sn.

Kwa kifupi bado anaweweseka na penzi la mumewe wa Kwanza.
Wanaume wote wamemuoa kwa maigizo ili athibitishie ulimwengu kwamba yupo happy na amepata mtu sahihi,
. reality ni kwamba hana furaha yeyote hapo. .
Bado anateseka na penzi la lililopita.
 
Ndoa ilikuwa ni ile ya kwanza, iliyofuata ulikuwa ni umalaya uliohalalishwa na hii ya sasa ni umalaya unaopambwa kisanii.

Hivi kwa kuangalia tu kwa picha, huyo checkbob ndio wakuoa huyo bibi aliyeji make up?
 
Hizo code za Joyce nilishazitambuwa kitambo sn.

Kwa kifupi bado anaweweseka na penzi la mumewe wa Kwanza.
Wanaume wote wamemuoa kwa maigizo ili athibitishie ulimwengu kwamba yupo happy na amepata mtu sahihi,
. reality ni kwamba hana furaha yeyote hapo. .
Bado anateseka na penzi la lililopita.

🤣🤣🤣🤣
 
Hajawahi shauri mtu avunje ndoa yenye afya ila huwa anasema ukiona ndoa inataka kukuingiza kuzimu wachana nayo. Kitu ambacho ni kweli na sio kwa wanawake tuu hata kwa wanaume
Mama D nauliza tu km nawewe jimbo liko wazi, nitangaze nia.
 
Wanaume huwa hawakubali kupostiwa popote bila mpangilio na sababu ya msingi.
Na kwa baadhi yao hawaruhusu hata mke kujipost post bila sababu za msingi

Ila wote anaokutana nao Joy wapo tofauti na hawa
Nashangaa wanavyomshambulia Joyce kama hawamuoni Kileo
 
Tumezidi unafki. Kuna watu wanaongea hapa utadhani wameoa au kuolewa na kindergarten sweethearts zao. Kwahiyo kama ndoa za mwanzoni hazikumpa furaha akajichimbie shimoni for the rest of her life?

Sijui ni ushamba, arrested development au psychological trauma ila ukisoma baadhi ya comments za watu kwenye hii thread unabaki kujiuliza hawa watu wanainteract na binadamu wa aina gani? Wana wenza kweli? Na wenza wao ni watu wa kawaida kabisaaa? Wenye akili timamu na self awareness? Maana ni shida.
 
Back
Top Bottom