Joyce Kiria arudi kimya kimya kwa mumewe baada ya kumdhalilisha mitandaoni

Haaaa daah Kisa chako nimekielewa sana mkuu
 
Kama alifikia hatua ya kusema hapigwi hata mashine,huyu mwanamke kuna siku atakuja kusema mumewe ana kibamia....huyu dada ana waaibisha sana mabeki tatu wenzake
 
Ila kuna ushahidi wa shimo mkuu , na kama vipimo vikifanyika itajulukana palichimbwa pakazikwa mtu na kuhamishwa so jamaa anaweza kutwa na hatia[emoji1] [emoji1]
 
Mwanaume kuwa na mwanamke aina ya Joyce inahitaji roho ya kifaru
Kumbe huwa una chembe ya hekima huwa nakuonaga fyatu, maaba nilijua mahaba kwako ni kudanga tu, hongera naanza kukuamini sasa..
 
Ashaambiwa asipost akapost....wanawake na hata wanaume usioe/usiolewe na mtu mwenye maisha ya mtandaoni kila kitu kupost mwishowe atapost vya ndani kabisa
Acha tu kaka, yaani wanawake wengine wanaumiza vichwa sana, ila natoa tahadhari, muda si mrefu njemba mwenzetu akikosea tena kidogo subirini atakavyotolewa tena nishai! πŸ™πŸ˜‘πŸ˜•
Hongera kwa wanaowavumilia hawa viumbe kwa kweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…