SUASO
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 770
- 1,192
Haaaa kafanyaje tena Gadiel Michel wa yanga?Huyu gadiel Michael mbaga Hana akili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa kafanyaje tena Gadiel Michel wa yanga?Huyu gadiel Michael mbaga Hana akili!
Haaaa daah Kisa chako nimekielewa sana mkuuNiliwahi ambiwa na babu kuwa mwanamke si wa kuamini akanipa kisa flani hivi; kuna jamaa alikua akisumbuliwa na mbwa wa jirani yule mbwa alikua na tabia ya kuua vifaranga vya kuku sasa akawa anamwinda ili ikiwezekana amuue, siku moja kukiwa na kigiza akasikia kitu kinatikisa majani ya mahindi kuja kwake jamaa alipo sikia mahindi yanatikisika akachukua rungu akampiga nalo akijua ni mbwa wa jirani kumbe ni mtoto wa huyo jirani na akafa palepale.
Alipogundua kuwa alichopiga si mbwa bali ni mtoto wa jirani akakimbia kwenda kumwambia mkewe tukio, basi wakakubaliana wafiche maiti ili ikifika usiku sana wakautupe mbali ili isijulika mtoto kaenda wapi, wazazi wa yule mtoto walimtafuta mtoto wao bila mafanikio.
Ilipofika usiku wa manane wakakubaliana wakamzike mtoto mbali huko vichakani, walimzika wakarudi maisha yakaendelea. Kwa bahati nzuri jamaa akaenda akamsimulia ndugu yake kilichompata nae ndugu yake akamuuliza kama mkewe anajua nae akamkubalia huyo ndugu yake akamwambia kama Mke anajua basi afanye jitihada usiku tena akahamuamishe huyo marehemu akamzike sehemu nyingine mbali anayojua mwenyewe Kwa sababu mwanamke si wa kuamini.
Na jamaa akafanya alivyoelekezwa na ndugu yake, siku zikapita nyingi baada ya tukio siku moja kukatokea ugomvi jamaa akampiga mkewe mwanamke akakimbilia polisi kusimulia kila kitu.
Polisi wakamkamata jamaa na mwanamke akawapeleka hadi walipomzika huyo mtoto lakini hawakumpata.
Huyu kaambiwa asipost yeye mbiyo kupost.
Wanawake Wa kichaga bora ujichukulie zako Mzaramo
Absolutely trueMwanaume kuwa na mwanamke aina ya Joyce inahitaji roho ya kifaru
Sio kweli[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona masaa ya kutunxa siri yame fika View attachment 904509
Misumari yenyewe ina ncha mbili km msumenooKilewo amejibebea zigo lake la misumari, kila mtu ana zigo lake, ila zigo la jamaa linamchoma mbaya.
Kama alifikia hatua ya kusema hapigwi hata mashine,huyu mwanamke kuna siku atakuja kusema mumewe ana kibamia....huyu dada ana waaibisha sana mabeki tatu wenzakeMwanaharakati na mtangazaji wa kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kufurahishwa na mumewe ikiwa ni miezi sita sasa imepita tangu atangaze mitandaoni kuwa mumewe haudumii familia yake na majukumu yote ya kulea watoto ameachiwa yeye.
Kwanza nakuomba radhi kwa kushare hii ulinikataza nisiposti… ulivyoniambia umelipa hii ela shuleni sikuamini. Tena siku uliyotuletea chakula ukanipa na ela nilichanganyikiwa machozi ya furaha pamoja na kuniomba nisiposti lakini ninafikiri ni vyema niendeleze elimu kwamba INAWEZEKANA KUBADILIKA! Dunia wakajua wewe ni baba bora sasa! Umeanza kuchukua WAJIBU WAKO Asante sana kwa kusikia kilio changu! I am emotional.
Namshukuru Mungu sana kwa hatua hii kubwa sana ya kulipa sehemu ya ada ya watoto wetu na kuwaletea chakula! We love you so much [emoji177] tunakuombea ufanikiwe zaidi na utukumbuke kama ivi[emoji120][emoji120][emoji120]
Kinababa mtaniwia radhi lakini nasisitiza kwamba, hii ni awareness niliamua kufanya kwa wanaNdoa wengi kuna mengi ya kujifunza! Mabaya yangu ya kubwatabwata niachie mwenyewe maana mimi nipo kazini napigana na UKATILI WA KIJINSIA, na mazuri yangu ya kuwakumbusha wababa kuwajibika muyachukue kwa faida ya familia zetu! Na HESHIMA yenu pia.
Naimani wababa wengi sana wamejirekebisha na maisha yanaenda kwa Amani… nami nawaombea kwa dhati ya moyo wangu mfanikiwe katika kazi zenu ili mzidi kutenda mema kwa familia zenu!!! NAWAPENDA [emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]View attachment 904494
Kamanda apige mashine sasa aache uharakatiKama alifikia hatua ya kusema hapigwi hata mashine,huyu mwanamke kuna siku atakuja kusema mumewe ana kibamia....huyu dada ana waaibisha sana mabeki tatu wenzake
Ila kuna ushahidi wa shimo mkuu , na kama vipimo vikifanyika itajulukana palichimbwa pakazikwa mtu na kuhamishwa so jamaa anaweza kutwa na hatia[emoji1] [emoji1]Niliwahi ambiwa na babu kuwa mwanamke si wa kuamini akanipa kisa flani hivi; kuna jamaa alikua akisumbuliwa na mbwa wa jirani yule mbwa alikua na tabia ya kuua vifaranga vya kuku sasa akawa anamwinda ili ikiwezekana amuue, siku moja kukiwa na kigiza akasikia kitu kinatikisa majani ya mahindi kuja kwake jamaa alipo sikia mahindi yanatikisika akachukua rungu akampiga nalo akijua ni mbwa wa jirani kumbe ni mtoto wa huyo jirani na akafa palepale.
Alipogundua kuwa alichopiga si mbwa bali ni mtoto wa jirani akakimbia kwenda kumwambia mkewe tukio, basi wakakubaliana wafiche maiti ili ikifika usiku sana wakautupe mbali ili isijulika mtoto kaenda wapi, wazazi wa yule mtoto walimtafuta mtoto wao bila mafanikio.
Ilipofika usiku wa manane wakakubaliana wakamzike mtoto mbali huko vichakani, walimzika wakarudi maisha yakaendelea. Kwa bahati nzuri jamaa akaenda akamsimulia ndugu yake kilichompata nae ndugu yake akamuuliza kama mkewe anajua nae akamkubalia huyo ndugu yake akamwambia kama Mke anajua basi afanye jitihada usiku tena akahamuamishe huyo marehemu akamzike sehemu nyingine mbali anayojua mwenyewe Kwa sababu mwanamke si wa kuamini.
Na jamaa akafanya alivyoelekezwa na ndugu yake, siku zikapita nyingi baada ya tukio siku moja kukatokea ugomvi jamaa akampiga mkewe mwanamke akakimbilia polisi kusimulia kila kitu.
Polisi wakamkamata jamaa na mwanamke akawapeleka hadi walipomzika huyo mtoto lakini hawakumpata.
Huyu kaambiwa asipost yeye mbiyo kupost.
Kumbe huwa una chembe ya hekima huwa nakuonaga fyatu, maaba nilijua mahaba kwako ni kudanga tu, hongera naanza kukuamini sasa..Mwanaume kuwa na mwanamke aina ya Joyce inahitaji roho ya kifaru
haha gadiel Michael mbaga si beki wa yanga??Huyu gadiel Michael mbaga Hana akili!
Acha tu kaka, yaani wanawake wengine wanaumiza vichwa sana, ila natoa tahadhari, muda si mrefu njemba mwenzetu akikosea tena kidogo subirini atakavyotolewa tena nishai! 🙁😡😕Ashaambiwa asipost akapost....wanawake na hata wanaume usioe/usiolewe na mtu mwenye maisha ya mtandaoni kila kitu kupost mwishowe atapost vya ndani kabisa
Mwanaume kuwa na mwanamke aina ya Joyce inahitaji roho ya kifaru
mmh usigeneralize mkuu, roho/tabia mbaya sometimes ni ya mtu mwenyewe regardless kabila. mbona kuna wachaga wanaojiheshimu tuuHeri uoe mnyama wa porini kuliko mwanamke wa kichagga,hao ni mbwa wa wanaolala na binadamu!
Mwanamke wa kichagga linapokuja suala la fedha na mahusiano utu unamtoka kiruuuuuuu!mmh usigeneralize mkuu, roho/tabia mbaya sometimes ni ya mtu mwenyewe regardless kabila. mbona kuna wachaga wanaojiheshimu tuu
haha gadiel Michael mbaga si beki wa yanga??
Uyu alitaka kuprove something mtandaoni but katika reality she is very weak
Wanawake wanataka kijipa nguvu wasizoumbwanazo
we bana pesa tamu kwa kila mtu si wachaga pekee, akikosea mmoja/wawili it doesn't mean wote wakosefu, mi nawafahamu hao wachaga wastaarabu na wenye utu kunizidi hata mimi nsiye mchaga hahaaMwanamke wa kichagga linapokuja suala la fedha na mahusiano utu unamtoka kiruuuuuuu!