Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Thanks....
 
"Its hard to see the person you love happy with someone else" ukiielewa hii ndo utajua uchungu anaupitia huyo kilaza ha ha ha ha hivi ni nini kinawafanyaga watu kuona mtu hawezi kupendwa tena kwa sababu we unamchukia? Unamfanyia mtu unaempenda vimbwanga akipata mtu wa kum comfort huko nje unarudi mbio mbio na kujiliza liza mrudiane!
 
Sio tamaa ya hela tu, Joy ni narcissist! Ni aina ya wanawake ambao wako verry controlling,,,anaumia kwa sababu ame loose nyororo ya kumburuta mchizi huku na kule!
 
Hii ni ile unaachana na mwanamke kwa ujinga wake..siku ya siku anakukuta na kifaa kipya tena kikiwa kimemzidi kwa kila kitu..hapo lazima apasuke!

Huyu dada alisahau kua mwanaume akomolewi sasa naona unalia et ana MAUMIVU
Jinga sana hili demu sijapata ona! Pumbavu at its best
 
Sio tamaa ya hela tu, Joy ni narcissist! Ni aina ya wanawake ambao wako verry controlling,,,anaumia kwa sababu ame loose nyororo ya kumburuta mchizi huku na kule!
Nilikuwa na mwanamke wa aina hii. Yaani anataka attention kila wakati. Hajui kama upo busy anataka umuwaze yeye tu. Halafu wapo vizuri kwenye speculations. Ukiwa busy atasema kuna mwanamke mwingine ndio upo busy nae. Yaani ni kichomi haswa
 
Kaka acha tu wanatesa hao, ila nilijifunza kitu niko makini zaidi ya makini yenyewe, tabia za kijinga nazi screen mwanzoni kabisa wa mahusiano na nakuwa mkali zaidi ya pilipili! Maana ukimuendekeza mwanamke wa hivyo utakuwa unaishi kwa ratiba zake! Ninawaambiaga tu learn to handle rejections, maana ukijifanya kila utakalo lifanyike utaishia kunichukia tu,
 
What goes around comes around ,joyce hata nelly alipitia magumu yako kipindi unamcheat na kamanda.

Mwanamke wa shoka acha kulia lia mbona kwa nelly uliifata kwa nguvu talaka mahakamani. Na huyu usimcheleweshe bana
Ha ha ha ha hivi unadhani kumuacha umpendae ni simple sana kiasi hicho, ni hatari sana!
 
Siwezi kuwa upande wako, bila kumsikia
 
Kaka acha tu wanatesa hao, ila nilijifunza kitu niko makini zaidi ya makini yenyewe, tabia za kijinga nazi screen mwanzoni kabisa wa mahusiano na nakuwa mkali zaidi ya pilipili! Maana ukimuendekeza mwanamke wa hivyo utakuwa unaishi kwa ratiba zake!
Noma sana. Yaani Unakuta anakomaa na wewe utafikiri ndiye mama mzazi. Anataka kukupangia kila kitu na wewe uingie kwenye ratiba zake. Atakuendesha kama gari bovu.
 
Karma has never lost its address, wanadamu tujifunze kila unalofanya leo lina impact katika maisha yako ya mbeleni! Ukimfanyia mtu ushenzi aka grieve jua kabisa ipo siku uta grieve in the same manner!

Kama namuona Dj Nelly anavyogida mirinda kipapli papli baridi safiii!!!
What goes around comes around ,joyce hata nelly alipitia magumu yako kipindi unamcheat na kamanda.

Mwanamke wa shoka acha kulia lia mbona kwa nelly uliifata kwa nguvu talaka mahakamani. Na huyu usimcheleweshe bana
 
Kwa Kilewo kashindwa asee.....na asipojirudi atapata kichaa soon!

Moza ni kisu balaa halafu ana mkwanja, na anamkubali jamaa kusalimia tu anapiga goti , mtoto heshima debe,sasa jamaa ataanzaje kurudi kwa Joy kimfano yaani?
Picha ya Moza tafadhali
 
Noma sana. Yaani Unakuta anakomaa na wewe utafikiri ndiye mama mzazi. Anataka kukupangia kila kitu na wewe uingie kwenye ratiba zake. Atakuendesha kama gari bovu.
hawafai hao mkuu! Ukimkazia wapo wanaobadilika ila kama mtu wa kulalamika sana na hana kifua unabwaga manyanga
 
Always ipo hivyo, hata wewe ukiachana na demu wako kwa mbwembwe hasa uliempenda sana kisha akapata jamaa mpya aliekuzidi kila kitu lazma u hate tu, unaeza hata ukajikuta unam stalk mitandaoni in stealth mode!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…