Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Huyu dada acheni alalamike aisee tatizo kamanda alikuwa hajamaliza ujana sasa hivi ndo amejua ladha ya nyapu ndo maana karukwa na akili
Sasa huko kulalamika kumemsaidia nini zaidi ya watu kumuona hana akili, kaharibu had kipindi chake kimekosa mvuto kwa jamii. Ujue kila mtu Ana matatizo yake Ila Wana solve kimya kimya tu.
 
Mithani ipo wengi tunakumbana nayo. Joyce ni mfano mbaya kwa wasichana na wanawake ambao hawajapevuka vizuri kiakili.
Imagine anawaharibu wanawake wangapi kwa mtindo wake huo wa kuponda wanaume na ndoa kwa ujumla? Anatazamwa na watu wengi sana sasa mtu km hana akili akifata mambo yake lazima apotee.
Tatizo lake ni moja tu hashauriki maana sidhani kama amekosa washauri. Hajitambui yaani empty set kabisaaaa
Hafu anawaponza wenzake waombe talaka huku yeye anajiliza kamanda arudi sio kila jambo ni kukimbia na kusambaza mitandao mengine ni ya ku solve tu. Unfortunately Joyce hashauriki kichwa ngumu, mjuaji yeye hafu ujuaji sio harakati ni ukosefu tu wakujitambua
 
Huo ndiyo ukweli.
Kuna msemo wa kilugha unasema hivi (nauweka kwa kiswahili) "ukimwacha Mke/Mme wa kwanza, ipo siku utakuja kulia mtaani bila kumwona anaekupiga".

Usemi huu una sound vizuri uki-unukuu kwa ki-lugha, maana ni wa kiluga.
Joyce ni karma inakula kwa kumuumiza hubby kwa kwanza sasa ukichangia na yeye anajiona always yuko sasa acha a jifunze in hard way kwa kweli maana Hilo ni jaribu lake
 
Joyce ni karma inakula kwa kumuumiza hubby kwa kwanza sasa ukichangia na yeye anajiona always yuko sasa acha a jifunze in hard way kwa kweli maana Hilo ni jaribu lake
Dea you're!!!
 
Hafu anawaponza wenzake waombe talaka huku yeye anajiliza kamanda arudi sio kila jambo ni kukimbia na kusambaza mitandao mengine ni ya ku solve tu. Unfortunately Joyce hashauriki kichwa ngumu, mjuaji yeye hafu ujuaji sio harakati ni ukosefu tu wakujitambua
Watakao msikilia ndiyo wataomba taraka, kuolewa uolewe wewe taraka ushauriwe na mwingine akili za kuambiwa changanya na zako
 
We utakuwa unatommbwa bila shaka, ntolee nuksi!!!
Why are you soo hurt with this

Checking the threadz Una almost 50% ya posts

Some wrong

You seriously need some medical attention

Bitching won't help
 
Huyu mwanamke alileta dharau sana kwa Mme wake huko nyuma,sasa hili ni fundisho kwa wanawake wote wanaojifanya wajuaji na waropokaji,saiz kileo anapata faraja sehemu nyingine,joy atulie tu sindano iingie vizur
 
Why are you soo hurt with this

Checking the threadz Una almost 50% ya posts

Some wrong

You seriously need some medical attention

Bitching won't help
JF is a freaking platform,,faggot ass,,, i can make as much posts as i want and i wonder how the hell you so concerned about it! Get a life punk!!!
 
Si walishaachana sasa nini ngojera tena au ni sitaki nataka? Halafu mapenzi ya kwenye mitandao ndio mapenzi gani? Mbona simwonagi Kilewo akiweka mambo mitandaoni na huyu mama akimwandika mitandaoni huwa hamjibu. Hata ningekuwa Kilewo siwezi kukuvumilia mwanamke wa kutangaza mambo ya nyumbani mitandaoni. Huyu mama alilelewa wapi. Nijuavyo mwanamke hata ukichapwa ukawa unalia mtu akipiga hodi unafuta machozi na kufanya kama hakuna lililotokea.
Mimi namshauri Kilewo ampuuzie na kutafuta maisha yake. Wanawake ni wengi na hawana waume wa kuwaoa, aachane na nunga embe ilo apate kimwana. Bado mdogo
Ndicho kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom