Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo𤮠achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati.