Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Kaolewa na marioo ndio maana...ukiolewa na really man hayo majukumu aliyonayo hadi unatamani akifika nyumbani umuogeshe🫣
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aiseee tutafute sana hela
 
Tatizi mume wake naye ana mume, ndiyo maana wanaendana.Wanaume wa ukweli kashindwa kuishi nao kwenye ndoa.
 
Huyu dada akili hana kabisa,na aliemuoa pia akili atakua hana mana kaoa pepo
 
Back
Top Bottom