Babuu Wesaki Kilauwo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2024
- 357
- 488
Kauli kama hizi ni kawaida kwa wanawake waliojipata kutokana na kipato chao kinawafanya wawe na dharau maana kwake kuishi na mwanaume sio lazima anajiweza.Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192