Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,160
- 1,359
Yote hayo mkuu ni kwa sababu ujinga nao umepewa uhuru, angepewa mtu smart a debate nae. Tukianza na maswali binafsi kama vile.Analazimisha ideology yake iwaingie wengine.
Hawa ndio wanaokufa kwa upweke na depression.
Je yeye ni mtu sahihi katika kushauri masuala ya ndoa ikiwa ndoa zake kadhaa zilivunjika?