Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Anafunguka mwanaharakati.....

"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria

Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192

Huyo naona kama Chief Godlove anatafuta views tu wala hamaanishi.
 
Anafunguka mwanaharakati.....

"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria

Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Huyu Kila siku anazidi kuwa karagosi
 
Wadau nimeikuta hii mahali:
Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"
~Joyce Kiria, Mwanaharakati.
Ila zama za mwanaume kutoa mahari bado zipo? Huyu anaumwa nyegelemonia
 
Ngojea aje ajue kumbe mjamaa ana akili za kumzalisha amuweke kundi la singo mazeri.😂😂😂😂😂
Aaliyah Hana noma mtoto mzuri hana akili za kipuuzi kama za huyo bidada 😁Sema mfano ikatokea kwel tukachoma ubani hayo ya kufua, kupika sijui kumuogesha itakua Kama sehemu ya mahaba tu Sio kama anavopotray Huyo housemaid kiria
 
Mbona mabeki3 ndio tunaongoza kufua
Usiuterm ubeki tatu kama kitu duni
she is no longer a housemaid (si kwamba ni jambo baya kuwa beki 3) Rejea tena kusoma ukaelewa mpendwa.

Tatizo si ubeki tatu, tatizo ni Joyce Kiria.
 
Mwisho mtataka na huko mwezini tuingie wote kila mwezi! Kweli Mungu fundi nimeaamini, Mungu angekua Demi naona saa hizi hadi mimba tungebebeshwa na wanawake!!
Sisi hatuna tatizo na kubeba mimba. Haijawahi kuwa adhabu..
Swali ni kwambaaaa? Hamna mikono?
 
Sasa yeye hajasema kuwa "sio lazima kumhudumia mume" kasema "ni ujinga kumhudumia mume" unapoki term kitu kama ujinga it means HAKIPASWI KUFANYIKA.
Usipindishe alichosema.
Maneno aliyotumia kaonyesha ana matatizo yake, sasa namna yake ya kuyakabili anataka na wenzake wafanye hivyo.

Simjui vizuri, lakini kuna time nilimpa muda kumsikiliza sana akiwa na kipindi cha Wanawake live miaka ya 2010's mwanzoni. Baadae akawa na mume mbunge sijui mgombea yule, akaonyesha tabia tofauti kabisa katika masuala ya mtazamo wa kifedha. Mwanaume akawa ni wake, yani wanaume wote tuwe kama mume wake.

Mara paap, wakavurugana... akaanza kurap hadharani vina visivyo na mantiki, sijui alikuwa ananyanyaswa,anapigwa... n.k

Nika conclude tangu time ile kuwa huyu ni mtu muongo, wa hovyo anaependa kuingiza watu katika mikumbo mikumbo. Mwisho wa usiku hawa wanakuja kuwa wazee wa hovyo hovyo.
 
Analazimisha ideology yake iwaingie wengine.
Hawa ndio wanaokufa kwa upweke na depression.
 
Back
Top Bottom