Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Yaaani Mimi nioe? Ntakua Sina akili timamu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...mzee ushaoa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaaani Mimi nioe? Ntakua Sina akili timamu
Kaolewa na marioo ndio maana...ukiolewa na really man hayo majukumu aliyonayo hadi unatamani akifika nyumbani umuogeshe🫣Joyce anasema wewe ni mjinga kwani mumeo hana mikono?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aiseee tutafute sana helaKaolewa na marioo ndio maana...ukiolewa na really man hayo majukumu aliyonayo hadi unatamani akifika nyumbani umuogeshe🫣