Joyce Kiria: Nilikubali kuolewa kwasababu ya umaskini na sio upendo

Joyce Kiria: Nilikubali kuolewa kwasababu ya umaskini na sio upendo

View attachment 3016274

Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi...
Hana jipya siku hizi hakuna mapenzi Bila Hela zamani sana ilikuwa hivyo hata Mimi nimewahi kufaidi mapenzi ya kweli ya Bila pesa
 
View attachment 3016274

Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi...
Na huo ndio ukweli sio umaskini TU bali"HOFU YA MSTAKABALI WA MAISHA YAJAYO"Ukishajipata sarakasi zinaanza rasmi!
 
Sio Kweli huyo alizaliwa Kibosho hiyo ni Kibosho Org kabisaa Wamarangu niwajuavyo very classic sio hii
Kwani KUZALIWA mahali fulani ni LAZIMA uwe kabila la hapo ulipozaliwa? Mfano Msukuma aliyezaa watoto wake Dar es Salaam hao watoto ni wasukuma au wazaramo eti tu kwa sababu wamezaliwa Dar?
 
Wanaume tumepewa mitihani mizito muda mwingine kumbe tunaowaoa wanashinikizwa na shida zao binafsi hivyo ukimfanya mke na ukajitoa kweli kweli amini kuna siku atajiondokea maana moyo wake haupo kwako , na ni kweli kuna wanawake wengine ni mzigo anakufanyia mambo mengi kumbe ukute nafsi yake haipo kwako.
 
Na tuwe makini na hawa SINGLE MOTHER'S wengi wao wapo kimaslahi yakulelewa watoto wao na si kivingine.
 
Kwani KUZALIWA mahali fulani ni LAZIMA uwe kabila la hapo ulipozaliwa? Mfano Msukuma aliyezaa watoto wake Dar es Salaam hao watoto ni wasukuma au wazaramo eti tu kwa sababu wamezaliwa Dar?
Vyovyote vile Joyce Kiria ni Mkibosho na sio Mmarangu
 
Wakuu naulizia alipo Joyce Kiria
 
Attachments

  • FB_IMG_1725379362707.jpg
    FB_IMG_1725379362707.jpg
    77.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom