joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ndio ukweli wenyewe baadhi ya wanawake wengi wanakubali kuolewa na viboba wenye hela si kwa sababu ya upendo,bali ni njaa.
Nina mwanangu demu wake walianza nae tokea advance, baadae demu kaja kupata meneja wa bank kipindi anafanya field akaja kumwacha mwana na mwana sio kwamba alikuwa yupo hovyo,yupo vizuri kwa mwezi alikuwa anakunja kama 1-1.5m na alikuwa anampatia demu mahitaji yake ya msingi,ila demu akapagawa na luxury za meneja.
Mwaka ambao jamaa alipanga atoe mahali ,yule meneja akamovertake kutoa mahali na kuoa kabisa.
Mwamba ilimuuma alikuwa mnene na kitambi chake,ila ndani ya wiki alipungua kama Leonard wa Cheka tu.Baada ya mwaka akakubaliana na hali halisi,ikapita kama miaka miwili demu aksrudi akawa anamsumbua jamaa,awe hata kidumu chake ila mwana kamatolea nje,japo hajakata tamaa,mpaka kesho demu anamsumbua jamaa.
Kwa wanawake wa siku hizi wengi wao,hamna anaye angalia true love mbele ya pesa,lazima mwenye pesa ashinde,sababu mademu wengi wana njaa.