Joyce Kiria: Nilikubali kuolewa kwasababu ya umaskini na sio upendo

Tena ana bahati hana mtoto wa kike kabisa na Hendry Kilewo nini ulikiona kwa huyu dada? au ni hizo kengeza?
 
View attachment 3016274

Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi.

Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu wa maisha, bali waingie kwa Upendo wa kweli.

Credit - HabariMtandaoni
Huyu binti amechanganyikiwa

Ana pepo la kudanga huyu
 
Sijui kwa nini wanawake wakiwa na hela hujutia badala ya kufurahia maisha kama wanaume
nimeona posti nyingi za namna hii
 
Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu wa maisha, bali waingie kwa Upendo wa kweli.
Wanawake na upendo wa kweli wapi na wapi.

Aendelee tu usingle lady alishapoteza ndoa kwa tamaa zake
 
ukishakuwa na umri mkubwa hivi, kukaa kimya nayo ni hekima. Experience yako usije uka-generalize kwa kila mtu..

wanawake na wanaume do not take advice from miserable people kwasababu kila ushauri atakuwa kupa uko katika mtazamo wa alichokipitia yy
👏👏👏🤝👍
 
H
View attachment 3016274

Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi.

Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu wa maisha, bali waingie kwa Upendo wa kweli.

Credit - HabariMtandaoni
Huyu dada nikimsikia napata kichefu chetu kabisa.
 
Sio ziko nyingi, ndio zilizopo sahivi, Da Joy kaongea ukweli kabisaaa
Da Joy sio ! 😆 ,Umenikumbusha kuna jamaa yangu mmoja yupo kijijini Kingua(Mahilo) ana mchepuko wake Mbinga mjini anamwita~ga Da Shida, mwanamke mtata hatari lakini jamaa yupo naye miaka mingi hadi mkewe anajua
 
View attachment 3016274

Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi.

Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu wa maisha, bali waingie kwa Upendo wa kweli.

Credit - HabariMtandaoni
Akili ni muhimu sana kuwa nazo. kama huna unaweza ukaropoka miropoko mingi sana
 
Back
Top Bottom