let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Mke/Mchumba uliyenae ni kwasababu unamtimizia mahitaji yake.
Acha kumpa uone rangi yake halisi.
Acha kumpa uone rangi yake halisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wavumilie wafe njaa! Au yuko tayari kuwaBoom.View attachment 3016274
Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi.
Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu wa maisha, bali waingie kwa Upendo wa kweli.
Credit - HabariMtandaoni
Kama kawaida!!Kataa ndoa wamechukua points 3 mhimu😀
Dah!...Mke/Mchumba uliyenae ni kwasababu unamtimizia mahitaji yake.
Acha kumpa uone rangi yake halisi.
Unachosema hapa ni tukibaki wanaume tu ubaya nusu uliosababishwa na wao utakwisha. Sahihi?Kila nikitaka kumpuuza mwanamke nafikiria na mimi nina mtoto wa kike narudi nyuma!
Hata hivyo mwanamke kwa ujumla wa yote ni mtatanishi sana, maisha yanakuwa mabaya zaidi nusu sababu ni wao.
huyo mbwa anaharibu ndoa za watu sana!Huyu bibi hanaga akili. Ni bomu hili amerudi tena?
Nani kalirudisha hilo bibi?
Umesema ni " Mjasiriamali"!! anafanya biashara gani?View attachment 3016274
Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi.
Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu wa maisha, bali waingie kwa Upendo wa kweli.
Credit - HabariMtandaoni
Unahudumiwa ?usitupangie tunajua nini tunafanya,,kisa wewe ulihitaji msaada na ukasaidiwa, sisi hautaki tusaidiwe sio? nasisi saivi tunafanya kama wewe ili tuje tujute mbele ikiwa tayari tushatoboa kama wewe.
definition ya kuhudumiwa kwanza,kisha nikujibuUnahudumiwa ?
King,wanawake na wanaume do not take advice from miserable people kwasababu kila ushauri atakuwa kupa uko katika mtazamo wa alichokipitia yy
Kwamba hujui maana ya kuhudumiwa ?definition ya kuhudumiwa kwanza,kisha nikujibu
apo ni jibu tosha kua sihudumiwi na wala sijawahiKwamba hujui maana ya kuhudumiwa ?