Joyce Mukya ni nani? Pamoja na kutokuwa active kwenye Siasa bado anapeta ubunge CHADEMA zaidi ya miaka 10

Ila kumbuka mwenyekiti ni public figure akwepeki na makando kando yake pia ni aibu kuonga ubunge wa viti maalum.
 
Ila kumbuka mwenyekiti ni public figure akwepeki na makando kando yake pia ni aibu kuonga ubunge wa viti maalum.
Sawa na tuambiane hapa sasa ni kiongozi(mwenyekiti) wa chama gani anaweza kubaki salama katika hili(ngono /kuhonga vyeo)!?
 
Bora hiyo nafasi ya Mukya angepewa mwanadada mpiganaji Ndibalema, sasa hivi kajikatia tamaa kwasababu chama hakioni juhudi zake badala yake wanateua wabunge viti maalum kwa mahaba binafsi.


Pamoja na kupewa unaibu waziri hujaichoka CHADEMA
 
Usitupe mawe ukiwa kwenye nyumba ya vioo hakika unayemtupia akirudishia utapata hasara kubwa.
Kabla ya kuanzisha thread kama hizi mjiulize "wakiamua kujibu wataandika nini?"
Mbowe ni kiongozi wa chama cha upinzani na hayo kama kayafanya kweli ni makosa makubwa na tayari yanamuondolea credibility ya kuweza kuomba uongozi wa nchi.
Hebu tuangalie ikiwa makosa kama haya yamefanywa na mwenyekiti wa chama lakini kilichobahatika kushika uongozi nini impact yake (tunaongozwa na mtu asiye muadilifu).
Kwetu Africa si jambo kubwa sana lakini nakumbuka ya kuwa Jenerali wa jeshi la America alivuliwa cheo kwa kuonekana katika klabu ya mashoga.
Mbowe kafanya makosa lakini kumshambulia kunafungua milango kwa "machizi" kuweza kuwashambulia watu walio na heshima kubwa katika jamii/taifa letu.
Ni busara kidogo tu!!!
 
Hii kitu kwenye hii nchi ya wanafki siku tukiielewa comment yako. Tukapambana kujiweka sawa kwenye maisha yetu ya kila siku nakuacha kutumia nguvu nyingi kumtetea mwanasiasa. WaTZ tutafika mbali sana.
 
Hakuna ubaya wowote .hii mambo binafsi aituusu
 
Napinga kumnyanyapaa Joyce Mukya ukimya wake waweza kuwa una mengi mtu hadi kuzaa ina maana waliyezaa naye siku hiyo walikuwa peku peku bila kinga yoyote iwe condom au chochote sasa huyo aliyempa mimba awe mbowe au yeyote Kama alimwachia maradhi kwa kugoma kutumia kinga mnataka awe mwongeaji? Sana Sana anahitaji maombi hata akihongwa ubunge na kujengewa migorofa kumpoza kwa migonjwa aliyoachiwa haoni raha yoyote zaidi ya kulia kila siku .Msimlaumu tu
 
Wamehamia Nairobi nimemwona mwenyekiti juzi kaja likizo kumwona joy nkya na frying to KIA halafu anarudi tena ruzuku inateketea tu.
Michango pia msisahau endeleeni kumpelekea mheshimiwa mwenyekiti azitumbue ruzuku na michango na mabibi zake
 


Mkuu tuna usajili mpya wa JOKATE kachukua juzi tu kadi kapanda vyeo fasta sisi uvccm kitambo tunapigania chama tupo tu stay tuned mwakan mbunge wa viti maalumu
 
Siasa pembeni, kwenye suala la ngono na hawara/vimada itikadi haina mashiko. Haya mambo yanavuka mipaka ya vyama.
 
Ahsante kwa taarifa tunasubiri listi nyingine BAC SAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…