Joyce Mukya ni nani? Pamoja na kutokuwa active kwenye Siasa bado anapeta ubunge CHADEMA zaidi ya miaka 10

cha muhimu tuwaombee kwa Mungu hao uliowataja kuwa ni mahawara wa nani sijui Kama wamepata ukimw kupitia hao waliowapa favor kwa kutafuta ubunge viti maalumu Mungu awape nguvu ya kuishi kwa matumaini .
 
Sawa na tuambiane hapa sasa ni kiongozi(mwenyekiti) wa chama gani anaweza kubaki salama katika hili(ngono /kuhonga vyeo)!?
Kwakweli ni aibu kubwa, kuhonga sana ahonge ila kwa mwanasiasa mama active.
 
Mkuu sasa nimemshambulia kwa kuweka facts, sioni ubaya maana huyu ni public figure.
 
Hakuna ubaya wowote .hii mambo binafsi aituusu
Mkuu una akili kweli ya kung'amua mambo? Suala la mwenyekiti kuhonga uongozi kwa kimada tena huku mke wake akiwa anajulikana unaona ni suala binafsi.
 
Hakuna anayemnyanyapaa, hapa nimeongelea Nepotism chadema, kuna wadada wafia chama ila kila uchaguzi wanatupwa kapuni na ubunge vitu maalum wanapewa vimada.
 
Mkuu tuna usajili mpya wa JOKATE kachukua juzi tu kadi kapanda vyeo fasta sisi uvccm kitambo tunapigania chama tupo tu stay tuned mwakan mbunge wa viti maalumu
Nani kakuambia Jokate ni usajili mpya? Jokate kitambo sana ypo chamani. Utakuwa bavicha hujui ya uvccm.
 
Bora hiyo nafasi ya Mukya angepewa mwanadada mpiganaji Ndibalema, sasa hivi kajikatia tamaa kwasababu chama hakioni juhudi zake badala yake wanateua wabunge viti maalum kwa mahaba binafsi.

Kuna huyu alikuwa jumuia ya wazazi, na mwanawe unawaongeleaje?
 
Ahsante kwa taarifa tunasubiri listi nyingine BAC SAWA
List ndefu sana mkuu
Kuna
Susan Massele - Mke wa msemaji wa Chama Tumaini Makene.
Jesca Kishoa - Kafulila
Kuna mke/kimada wa Saed kubenea nikikumbuka jina nitaweka.
 
Sawa na tuambiane hapa sasa ni kiongozi(mwenyekiti) wa chama gani anaweza kubaki salama katika hili(ngono /kuhonga vyeo)!?
Kama unao wengine na taarifa zao wataje mkuu kama jamaa alivyomtaja na maelezo kayatoa kuhusu mwenyekiti wetu.
 
List ndefu sana mkuu
Kuna
Susan Massele - Mke wa msemaji wa Chama Tumaini Makene.
Jesca Kishoa - Kafulila
Kuna mke/kimada wa Saed kubenea nikikumbuka jina nitaweka
We hodari kwa listi mbona listi ya huko uko kimya au ///////// bac sawa
 
Kama unao wengine na taarifa zao wataje mkuu kama jamaa alivyomtaja na maelezo kayatoa kuhusu mwenyekiti wetu.
Wenyewe macho hambiwi tazama na mwenye masikio hambiwi sikia....siku hizi wanaosema kweli wanatekwa na wengine kupigwa risasi!Kila mtu mwenye akili timamu sasa hv anaishi kwa tahadhari kubwa sn sasahv!
 
Kuna huyu alikuwa jumuia ya wazazi, na mwanawe unawaongeleaje?
Nadhani unamaanisha the Bulembos
Iko hivi na usome kwa umakini...

Halima Bulembo ni mbunge Viti Maalum kupitia UVCCM mkoa wa Kagera, bahati nzuri wakati wa kumpigia kura nilikuwa Bukoba kwa hiyo huyu alichaguliwa na UVCCM. Wema Sepetu, Iren Uwoya nadhani unakumbuka waliangukia pua.

Alhaji Bulembo - Yeye kachaghuliwa na Rais, kumbuka si kwa kofia ya Uenyekiti wa Chama. Rais ana nafasi 10 za wabunge atakaoona wanafaa. Kumbuka hata Mbatia pamoja na kuwa mwana NCCR aliteuliwa na Rais Kikwete kuwa mbunge.

Nadhani hoja yako imejibika vyema.
 
Jichunguze kwanza mwenyewe kama ni msafi kabla ya kumsema mwenzako!!!
 
Mbona Anna Abdalla na Pius Msekwa na Rashid Kawawa Kikwete kazaa na Viki Kamata
 
Hivi hamna mengine ya kuandika humu?Tafuteni habari za uchumi kilimo elimu michezo nazo muandike.fanyeni utafiti wa mambo hayo.msing'ang'ane na shilawadu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…