Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?

Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??

Hovyo kabisa ,shithole mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguzq hasira ndugu.
Kama elimu huna basi kubali kwamba wewe huna elimu.

Yaninj kuwa na waziri wa elimu asiyekuwa na elimu????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Phd yake lugha aliyotumia kuipata ni kingereza, kushindwa kuzungumza kingereza vizuri ni lazima tuwe na mashaka research na thesis alizifanyaje?
Angekuwa Mrusi au mchina ingeeeweka lakini kaipata kwa Kingereza
Inawezekana alikulia urusi

In God we Trust
 
Kwani kujua kiingereza inasaidia nini? na km mnapenda elimu sana kwanini mkakubali sifa ya mbunge ajue tu kusoma na kuandika?

They say it's for communication, not for fluency, kama mchina kaelewa hicho kibovu, over.

Kwani nyie mnaomsema sema mnakijua hicho kiingereza, halafu mkikutana na mzungu mnaanza tetemeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusidanganyane. Kwa Tanzania kujua English ni ishara ya usomi since lugha inayotumika kufundishia ni English Inapotokea hadi unafika level hiyo ya Uprofesa halafu English yako yakusuasua lazima tuhoji uhalali wake.
 
Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini?

Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea Kiingereza chenye uvunjifu wa sarufi na tafsiri ya neno kwa neno toka Kiswahili kuja Kiingereza. Ya kwanza ni pale alipokuwa anamtishia Mkandaarasi wa kichina kuwa nitakusweka ndani (You will stay inside)

USHAURI:
Namshauri Mh Waziri awe anaongea kwa Kiswahili tu au awe anasoma hotuba alizoandikiwa na wataalamu. Kinyume chake anadhalilisha PhD yake na Vyuo vilivyompa hizo shahada.

Zaidi soma: Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?
View attachment 1355606
Kama uprofesa wa kibongo ndiyo hivi kweli elimu tanzania hakuna.Ni wizi tuu ndiyo maana hatuuziki katika soko la ajira
 
Hii nayo ni habari?

Jamani tuache ujinga basi maana nyie wenyewe mfumo wetu wa elimu mnaujua.

Mtu mwingine mpaka anapata PhD neo analoweza kulitamka kwa ufasaha ni 'is'.
Mbona aliamasisha wafanyakazi wa serikali wasio maliza kidato Cha nne wafukuzwe wakati yeye mwemyewe hamnazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom