JPM Aliona mbali kuhusu home shopping center,Karia hukuijua GSM Sasa ulinywe

pamba boy

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
252
Reaction score
392
Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea.

Watu wenye akili walitia shaka kuona kampuni ya GSM inaingia katika mpira wetu na kuidhamini timu ya yanga! Mara pap,wakaenda TFF kuomba kuidhamini ligi kuu na timu zote huku wakifanya mchakato wa kumiliki timu ya yanga .wadau wa mpira wakiongozwa na Barbara CEO wa simba walipinga sana mchakato huo kuwa ulilenga kuharibu mpira wetu.

Mara pap,mchakato ukafa kifo Cha mende baada ya kelele,Hawa GSM wakaingia Kwa mlango wa nyuma kudhamini baadhi ya vilabu wakianza na vile walivyohisi ni ngome ya wapinzani wao coastal union,namungo,pamba nk.Haya yoote Karia aliyaona na kufumbia macho ikafikia wakati akakabidhiwa na jezi ya yanga Kwa maana ya kumuweka mfukoni.
SI MNAKUMBUKA KARIA ALIKIRI KATIKA UTAWALA WAKE YANGA WAMENIFAIKA ZAIDI?

SASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.
pole sana Karia,aliyoyaona JPM wewe inawezekana uliyaona ukafika bei Ili kuikandamiza simba katika fair competition na Sasa wakati wa Mungu ulifika ukashindwa kuisaliti simba march 8 .hizi hasira zote za yanga ni kushindwa kutimiza makubaliano ya yanga ya kuikandamiza simba.
 
Mara pap,mchakato ukafa kifo Cha mende baada ya kelele,Hawa GSM wakaingia Kwa mlango wa nyuma kudhamini baadhi ya vilabu wakianza na vile walivyohisi ni ngome ya wapinzani wao coastal union,namungo,pamba nk.Haya yoote Karia aliyaona na kufumbia macho ikafikia wakati akakabidhiwa na jezi ya yanga Kwa maana ya kumuweka mfukoni.SI MNAKUMBUKA KARIA ALIKIRI KATIKA UTAWALA WAKE YANGA WAMENIFAIKA ZAIDI?

Nampongeza yoyote aliyeelewa huu UHARO.
 
Wewe nawe utafute watu wa kuwatetea. Sasa huyo Karia si mwizi tu. Amekula hela ngapi na hakuna hatua yoyote ile aliyochukuliwa? Siyo huyu Karia aliyewapa 50,000 tu watoto waliochukua ubingwa wa Afrika na kupewa mamilioni ya shilingi!!

Kumtetea mwizi kunakufanya na wewe uonekane ni mwizi tu.
 
Hii timu ya kimasikini,isipo beba ubingwa wachezaji wanakimbia kwa kushindwa kulipa madeni...ndio maana kumbe zile timu zilizodhaminiwa na GSM wanatoa yote kwa masikini mwenzao
 
Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea.

Watu wenye akili walitia shaka kuona kampuni ya GSM inaingia katika mpira wetu na kuidhamini timu ya yanga! Mara pap,wakaenda TFF kuomba kuidhamini ligi kuu na timu zote huku wakifanya mchakato wa kumiliki timu ya yanga .wadau wa mpira wakiongozwa na Barbara CEO wa simba walipinga sana mchakato huo kuwa ulilenga kuharibu mpira wetu.

Mara pap,mchakato ukafa kifo Cha mende baada ya kelele,Hawa GSM wakaingia Kwa mlango wa nyuma kudhamini baadhi ya vilabu wakianza na vile walivyohisi ni ngome ya wapinzani wao coastal union,namungo,pamba nk.Haya yoote Karia aliyaona na kufumbia macho ikafikia wakati akakabidhiwa na jezi ya yanga Kwa maana ya kumuweka mfukoni.SI MNAKUMBUKA KARIA ALIKIRI KATIKA UTAWALA WAKE YANGA WAMENIFAIKA ZAIDI?

SASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.
pole sana Karia,aliyoyaona JPM wewe inawezekana uliyaona ukafika bei Ili kuikandamiza simba katika fair competition na Sasa wakati wa Mungu ulifika ukashindwa kuisaliti simba march 8 .hizi hasira zote za yanga ni kushindwa kutimiza makubaliano ya yanga ya kuikandamiza simba.
Comments reserved
 
Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea.

Watu wenye akili walitia shaka kuona kampuni ya GSM inaingia katika mpira wetu na kuidhamini timu ya yanga! Mara pap,wakaenda TFF kuomba kuidhamini ligi kuu na timu zote huku wakifanya mchakato wa kumiliki timu ya yanga .wadau wa mpira wakiongozwa na Barbara CEO wa simba walipinga sana mchakato huo kuwa ulilenga kuharibu mpira wetu.

Mara pap,mchakato ukafa kifo Cha mende baada ya kelele,Hawa GSM wakaingia Kwa mlango wa nyuma kudhamini baadhi ya vilabu wakianza na vile walivyohisi ni ngome ya wapinzani wao coastal union,namungo,pamba nk.Haya yoote Karia aliyaona na kufumbia macho ikafikia wakati akakabidhiwa na jezi ya yanga Kwa maana ya kumuweka mfukoni.
SI MNAKUMBUKA KARIA ALIKIRI KATIKA UTAWALA WAKE YANGA WAMENIFAIKA ZAIDI?

SASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.
pole sana Karia,aliyoyaona JPM wewe inawezekana uliyaona ukafika bei Ili kuikandamiza simba katika fair competition na Sasa wakati wa Mungu ulifika ukashindwa kuisaliti simba march 8 .hizi hasira zote za yanga ni kushindwa kutimiza makubaliano ya yanga ya kuikandamiza simba.
SASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.
pole sana Karia,aliyoyaona JPM wewe inawezekana uliyaona ukafika bei Ili kuikandamiza simba katika fair competition na Sasa wakati wa Mungu ulifika ukashindwa kuisaliti simba march 8 .hizi hasira zote za yanga ni kushindwa kutimiza makubaliano ya yanga ya kuikandamiza simba.
 
SASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.
pole sana Karia,aliyoyaona JPM wewe inawezekana uliyaona ukafika bei Ili kuikandamiza simba katika fair competition na Sasa wakati wa Mungu ulifika ukashindwa kuisaliti simba march 8 .hizi hasira zote za yanga ni kushindwa kutimiza makubaliano ya yanga ya kuikandamiza simba.
Hahahahaha.watanzania ktk ubora wenu ,full kuchekesha, dah
 
Back
Top Bottom