JPM Aliona mbali kuhusu home shopping center,Karia hukuijua GSM Sasa ulinywe

JPM Aliona mbali kuhusu home shopping center,Karia hukuijua GSM Sasa ulinywe

Y
Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea.

Watu wenye akili walitia shaka kuona kampuni ya GSM inaingia katika mpira wetu na kuidhamini timu ya yanga! Mara pap,wakaenda TFF kuomba kuidhamini ligi kuu na timu zote huku wakifanya mchakato wa kumiliki timu ya yanga .wadau wa mpira wakiongozwa na Barbara CEO wa simba walipinga sana mchakato huo kuwa ulilenga kuharibu mpira wetu.

Mara pap,mchakato ukafa kifo Cha mende baada ya kelele,Hawa GSM wakaingia Kwa mlango wa nyuma kudhamini baadhi ya vilabu wakianza na vile walivyohisi ni ngome ya wapinzani wao coastal union,namungo,pamba nk.Haya yoote Karia aliyaona na kufumbia macho ikafikia wakati akakabidhiwa na jezi ya yanga Kwa maana ya kumuweka mfukoni.SI MNAKUMBUKA KARIA ALIKIRI KATIKA UTAWALA WAKE YANGA WAMENIFAIKA ZAIDI?

SASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.
pole sana Karia,aliyoyaona JPM wewe inawezekana uliyaona ukafika bei Ili kuikandamiza simba katika fair competition na Sasa wakati wa Mungu ulifika ukashindwa kuisaliti simba march 8 .hizi hasira zote za yanga ni kushindwa kutimiza makubaliano ya yanga ya kuikandamiza simba.
Yaan ww kukaa kwako kote mda mrefu humu Jf lakini akili huna kweli tuna safari ndefu
 
Back
Top Bottom