Nampongeza yoyote aliyeelewa huu UHARO.Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea.
Watu wenye akili walitia shaka kuona kampuni ya GSM inaingia katika mpira wetu na kuidhamini timu ya yanga! Mara pap,wakaenda TFF kuomba kuidhamini ligi kuu na timu zote huku wakifanya mchakato wa kumiliki timu ya yanga .wadau wa mpira wakiongozwa na Barbara CEO wa simba walipinga sana mchakato huo kuwa ulilenga kuharibu mpira wetu.
Mara pap,mchakato ukafa kifo Cha mende baada ya kelele,Hawa GSM wakaingia Kwa mlango wa nyuma kudhamini baadhi ya vilabu wakianza na vile walivyohisi ni ngome ya wapinzani wao coastal union,namungo,pamba nk.Haya yoote Karia aliyaona na kufumbia macho ikafikia wakati akakabidhiwa na jezi ya yanga Kwa maana ya kumuweka mfukoni.SI MNAKUMBUKA KARIA ALIKIRI KATIKA UTAWALA WAKE YANGA WAMENIFAIKA ZAIDI?
SASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.
pole sana Karia,aliyoyaona JPM wewe inawezekana uliyaona ukafika bei Ili kuikandamiza simba katika fair competition na Sasa wakati wa Mungu ulifika ukashindwa kuisaliti simba march 8 .hizi hasira zote za yanga ni kushindwa kutimiza makubaliano ya yanga ya kuikandamiza simba.
Uharo tenaNampongeza yoyote aliyeelewa huu UHARO.
Wewe nawe utafute watu wa kuwatetea. Sasa huyo Karia si mwizi tu. Amekula hela ngapi na hakuna hatua yoyote ile aliyochukuliwa? Siyo huyu Karia aliyewapa 50,000 tu watoto waliochukua ubingwa wa Afrika na kupewa mamilioni ya shilingi!!Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea.
Watu wenye akili walitia shaka kuona kampuni ya GSM inaingia katika mpira wetu na kuidhamini timu ya yanga! Mara pap,wakaenda TFF kuomba kuidhamini ligi kuu na timu zote huku wakifanya mchakato wa kumiliki timu ya yanga .wadau wa mpira wakiongozwa na Barbara CEO wa simba walipinga sana mchakato huo kuwa ulilenga kuharibu mpira wetu.
Mara pap,mchakato ukafa kifo Cha mende baada ya kelele,Hawa GSM wakaingia Kwa mlango wa nyuma kudhamini baadhi ya vilabu wakianza na vile walivyohisi ni ngome ya wapinzani wao coastal union,namungo,pamba nk.Haya yoote Karia aliyaona na kufumbia macho ikafikia wakati akakabidhiwa na jezi ya yanga Kwa maana ya kumuweka mfukoni.SI MNAKUMBUKA KARIA ALIKIRI KATIKA UTAWALA WAKE YANGA WAMENIFAIKA ZAIDI?
SASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.
pole sana Karia,aliyoyaona JPM wewe inawezekana uliyaona ukafika bei Ili kuikandamiza simba katika fair competition na Sasa wakati wa Mungu ulifika ukashindwa kuisaliti simba march 8 .hizi hasira zote za yanga ni kushindwa kutimiza makubaliano ya yanga ya kuikandamiza simba.
Comments reservedNdugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea.
Watu wenye akili walitia shaka kuona kampuni ya GSM inaingia katika mpira wetu na kuidhamini timu ya yanga! Mara pap,wakaenda TFF kuomba kuidhamini ligi kuu na timu zote huku wakifanya mchakato wa kumiliki timu ya yanga .wadau wa mpira wakiongozwa na Barbara CEO wa simba walipinga sana mchakato huo kuwa ulilenga kuharibu mpira wetu.
Mara pap,mchakato ukafa kifo Cha mende baada ya kelele,Hawa GSM wakaingia Kwa mlango wa nyuma kudhamini baadhi ya vilabu wakianza na vile walivyohisi ni ngome ya wapinzani wao coastal union,namungo,pamba nk.Haya yoote Karia aliyaona na kufumbia macho ikafikia wakati akakabidhiwa na jezi ya yanga Kwa maana ya kumuweka mfukoni.SI MNAKUMBUKA KARIA ALIKIRI KATIKA UTAWALA WAKE YANGA WAMENIFAIKA ZAIDI?
SASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.
pole sana Karia,aliyoyaona JPM wewe inawezekana uliyaona ukafika bei Ili kuikandamiza simba katika fair competition na Sasa wakati wa Mungu ulifika ukashindwa kuisaliti simba march 8 .hizi hasira zote za yanga ni kushindwa kutimiza makubaliano ya yanga ya kuikandamiza simba.
This is the so called parede of wordsNampongeza yoyote aliyeelewa huu UHARO.
Walijua kitakachotokea ndio maana walijitangaza mufilisi..Home Shopping walijitangaza kufilisika kabla Magufuli hajawa raisi.
Huwezi elewaMtu akiwa sukuma gang miksa kolo shida sana. Sasa umeandika mautumbo gani hapo?
SASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea.
Watu wenye akili walitia shaka kuona kampuni ya GSM inaingia katika mpira wetu na kuidhamini timu ya yanga! Mara pap,wakaenda TFF kuomba kuidhamini ligi kuu na timu zote huku wakifanya mchakato wa kumiliki timu ya yanga .wadau wa mpira wakiongozwa na Barbara CEO wa simba walipinga sana mchakato huo kuwa ulilenga kuharibu mpira wetu.
Mara pap,mchakato ukafa kifo Cha mende baada ya kelele,Hawa GSM wakaingia Kwa mlango wa nyuma kudhamini baadhi ya vilabu wakianza na vile walivyohisi ni ngome ya wapinzani wao coastal union,namungo,pamba nk.Haya yoote Karia aliyaona na kufumbia macho ikafikia wakati akakabidhiwa na jezi ya yanga Kwa maana ya kumuweka mfukoni.SI MNAKUMBUKA KARIA ALIKIRI KATIKA UTAWALA WAKE YANGA WAMENIFAIKA ZAIDI?
SASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.
pole sana Karia,aliyoyaona JPM wewe inawezekana uliyaona ukafika bei Ili kuikandamiza simba katika fair competition na Sasa wakati wa Mungu ulifika ukashindwa kuisaliti simba march 8 .hizi hasira zote za yanga ni kushindwa kutimiza makubaliano ya yanga ya kuikandamiza simba.
Ila watanzania sijui mmelogwa wapi mnatia aibuAkili/upeo wa mtanzania mnyonge
Hahahahaha.watanzania ktk ubora wenu ,full kuchekesha, dahSASA SIRI ZINAANZA KUFICHUKA ,KUMBE WALIKUWA WANAENDSHA TIMU KWA SONGESHA NA MENGI MTAYASIKIA.