Duh! kumbe huwa 2naonewa wengine 2siojua sheria na haki ze2. unakuta m2 anakamatwa na wengine hata sio maaskari ilimradi anaonekana anatembea na askari flani bac na yeye akiamua anaenda kukamata raia.
Pia mtuhumiwa ana haki ya kufungua kesi ya madai kwa askari au afisa wa polisi endapo atampiga,atamsababishia maumivu au majeraha mwilini wakati kumfikisha kituoni. Pia wakati wa kutoa maelezo askari anapaswa ajitambulishe na cheo chake, kwa sababu askari anaeruhusiwa kukuhoji ni mwenye cheo kinachoanzia na kopro.
wakuu kujua sheria ni jambo la kwanza na kujua vifungu ni kazi ya wanasheria kwani ukitamani kujua au kukariri ndg haiwezekani.. Zaidi tutembelee sheria ya makosa ya jinai na taratibu zake. (Penal Code na Criminal Procedure)