Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama PROFESSA MZIMA (LIPUMBA) walimfanya vile na haki zake zote anajua, sie bangusilo tutathubutu?
wadanganye waote manundu kwa police wa bongo labda kwa wenzetu wa ulimwengu wa kwanza
Akija Askari polisi mmoja,.then akakiuka.hayo ya juu, hawezi nichukua.
Akikupuuza wakaja wengi utajilaumu kwanini hukumsikiliza yule mmoja yakaisha.bora wanajeshi watakudunda wakuache unalia hapo.
Hawa wanakudunda, kituoni wanakupeleka, na kesi wanakuongezea (umempiga askari) ndio.
Kama unakaza kaza mwanzo mwisho mpaka wakimbie, kama unaweza lakini.
Tatizo sio sheria mkuu, mfumo wetu wa kudai haju una tatizo. Kwa polisi wa Tanzania huwezi kumuuliza kwanini amekukamata, au kwanini anakusachi, ukijaribu kumbishia hata kwa maelezo kama mleta mada alivyoelezea utaingia kwenye matatizo tu.
Kuna watu wanapigwa hadu wanapoteza maisha na wengine kusababishiwa ulemavu wa kudumu kwa sababu ya kubishana na polisi au ujinga wa polisi wa kutotambua mtuhumiwa halisi wakati wa jaribio la kumkamata mtuhumiwa.
Hivi kama polisi amekupiga au amekudharirisha bila sababu ya msingi utamfanya nini? Maana huwezi kwenda kumshtaki polisi bila kupitia kwa polisi tena ambapo kimsingi naona ni kupoteza muda tu.
Polisi aje kijinga bila kufata sheria zao, aje kutak kunipekua kwangu bila kibari au utaratib maalum ? Anikamate bila warant wakati sipo kwenye kosa nitajihami aisee,, akiomba back up ya wajinga wenzie waje tu, watakuta kun back up yang somewhere pia...kama law enforcers wanavunja sheria unawachap mtakutan mahakamani.
Ah.kama unaweza kuwachapa wote ni visuri sana.
Maana mie ninavyojua.akirudi jamaa mmoja kulipoti kuwa jamaa kagoma kuja kituoni.ndio lile sentensi fupi UTII WA SHERIA BILA SHURUTI unakuwa umewahakikishia kulikataa, wanakuja.
Kama unaiweza vita haaya simama, ila hapo hamna wa kulaumiwa.