Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kabisa, yaani mtu anashindwa kujielewa mwenyeweKwa mawazo ya kipuuzi kama haya, wacha makocha wa kigeni watawale soka letu.
Matak🌚 yakeUna maoni gani kuhusu Julio?
Uongo upi?Nahisi harufu ya uongo hapa...
Sasa huyo Mama Samia akisimamisha ligi, si na nchi nayo itafungiwa kushiriki mashindano ya Kimataifa!Akohojiwa na mwandishi wa Azam Sports 1HD, kocha msaidizi wa Namungo Fc Jamhuri Kihwelo Julio anasema mpaka sasa bado bingwa wa NBC premier league hajapatikana.
Anasema kama Mama Samia akisimamisha ligi leo, Simba ndio atakuwa mwakilishi wa kimataifa. Hivyo, yeye anaamini kuwa mpaka ligi ikiisha ndio ataamini kuwa Yanga bingwa kwa msimu huu.
Una maoni gani kuhusu Julio?
Rage ajengewe mnara pale MsimbaziHuwezi kuwa mbumbumbu katika maisha mpaka tu pale utakapokuwa mnazi wa simba
Julio amepitiwa kwenye hili, anaonyesha ni namna gani haikubali Yanga hata kwa kutoa credit pale wanapostahiliSasa huyo Mama Samia akisimamisha ligi, si na nchi nayo itafungiwa kushiriki mashindano ya Kimataifa!
Hivi huyo Julio ana uwezo wa kufikiri kweli! Au ndiyo mahaba yamemzidia kwa timu yake ya asili mpaka anaamua kujitoa ufahamu?
Tuombe radhi mkuuHuwezi kuwa mbumbumbu katika maisha mpaka tu pale utakapokuwa mnazi wa simba
🤣🤣🤣Hawa ndiyo makocha wetu tunaotaka wakafundishe nje ya Tz..........mtu anaropoka ropoka tu kama zuzu.......
Nahisi harufu ya uongo hapa...
Kama aliweza simamisha mechi ya simba na yanga atashindwaje kusimamisha ligi🤣🤣🤣Hee Rais wa nchi anawezaje kusimamisha ligi