Julio: Bingwa wa ligi kuu ya NBC bado hajapatikana

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Akohojiwa na mwandishi wa Azam Sports 1HD, kocha msaidizi wa Namungo Fc Jamhuri Kihwelo Julio anasema mpaka sasa bado bingwa wa NBC premier league hajapatikana.

Anasema kama Mama Samia akisimamisha ligi leo, Simba ndio atakuwa mwakilishi wa kimataifa. Hivyo, yeye anaamini kuwa mpaka ligi ikiisha ndio ataamini kuwa Yanga bingwa kwa msimu huu.

Una maoni gani kuhusu Julio?
 
Sasa huyo Mama Samia akisimamisha ligi, si na nchi nayo itafungiwa kushiriki mashindano ya Kimataifa!

Hivi huyo Julio ana uwezo wa kufikiri kweli! Au ndiyo mahaba yamemzidia kwa timu yake ya asili mpaka anaamua kujitoa ufahamu?
 
Julio amepitiwa kwenye hili, anaonyesha ni namna gani haikubali Yanga hata kwa kutoa credit pale wanapostahili
 
Nahisi harufu ya uongo hapa...
A4295958-57AA-44E8-BA2D-58EE39400697.jpeg
 
Aliwahi kuishusha daraja Mwadui FC..........naamini akiendelea kuwepo pale Namungo basi kile kikombe cha kushuka daraja kinawahusu kabisa

Waziri Mkuu Majaliwa atoe hicho kirusi haraka sana kwenye timu yake
 
Back
Top Bottom