Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Akohojiwa na mwandishi wa Azam Sports 1HD, kocha msaidizi wa Namungo Fc Jamhuri Kihwelo Julio anasema mpaka sasa bado bingwa wa NBC premier league hajapatikana.
Anasema kama Mama Samia akisimamisha ligi leo, Simba ndio atakuwa mwakilishi wa kimataifa. Hivyo, yeye anaamini kuwa mpaka ligi ikiisha ndio ataamini kuwa Yanga bingwa kwa msimu huu.
Una maoni gani kuhusu Julio?