Mkuu maneno hayo!!!!mwl.naye ana kauli kali sana kwa vizazi vyake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.Ni bora uwe uchi kimwili kuliko kiakili - Julius Nyerere akiongea na UWT pale Karimjee Hall miaka ya 80.
Nilikuwa na rafiki yangu mmoja,baba yake ni mkali ndani na nje ya yumba yake kwa hiyo akawa amemwambia rafiki yake wa kike twende tukamwone baba yangu umsalimie naye akuone.Binti mita mia akasema thubutu baba yako atanitumbua kumbe binti anafahamu mambo yake.Umenena, siku hizi hali imebadirika imefikia hatua hata ukipewa mwaliko rasmi kwenda ikulu, mtu unasita na kujiuliza niende ama nisiende? Hadhi ya Ikulu yetu imerudi.
Akikuona atakuita mkapige picha usijariView attachment 364752
Wapiga dili,wauza unga,wachezesha disco,walanguzi,wapiga ramli,wabinafsi,wanyang'anyi,walafi,mafisadi,na wote wanaofanana na hizi characters kamwe hawatafanikiwa kutawala nchi hii kupitia white house labda watafute makazi mengine.
Walioingia kwenye nafasi za umma na wakabahatika kuingia kwenye ofisi hii waliondoka kwa aibu na wengine wataondoka kwa aibu kubwa zaidi ''IKULU NI MAHALI PATAKATIFU''.
Nina heri na amani moyoni kwa Rais Dr.Magufuli kwa kuendelea kufanya usafi wa uhakika ndani na nje ya muhimili wa mti huu mweupe.Kila la kheri na unapoondoka kamwe usiwaachie nchi watu wenye elements nilizorodesha awali hapo juu wapenye tena chonde chonde kiongozi wangu isije kuwa umefanya kazi ya kuwatengenezea ulaji watakaokufuata.
Siyo vizuri hata kidogo kurudia makosa yaleyale walioyofanya waliokutangulia kwenye usimamizi wa nchi na kuacha kwenye mikono salama.Hata kama wakuite kwa majina yote yaliyopo duniani haisaidii ila tu unachofanya ni kwa maslahi wa nchi na kwa dhamira njema bila kumwonea au kumpendelea mtu.KILA LA KHERI MY PRESIDENT.
DIRANQW.
MAMBO YAKE YEPI?Nilikuwa na rafiki yangu mmoja,baba yake ni mkali ndani na nje ya yumba yake kwa hiyo akawa amemwambia rafiki yake wa kike twende tukamwone baba yangu umsalimie naye akuone.Binti mita mia akasema thubutu baba yako atanitumbua kumbe binti anafahamu mambo yake.
Nimelikumbuka hili baada ya kauli yako mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Unajuaaaaa watu na taabia zao????????????????????????????/MAMBO YAKE YEPI?
Hisia zako tu rafiki yangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mleta uzi unaota ndoto za mchana...mahali patakatifu ni Mbingunj..pekee...ikulu kuna utakatifu gani hasa?Mbona unamkufuru Mungu?Bwana akusamehe kwa kuwa hujui utendalo.ni njaa zako na kubembeleza mauteuzi haramu ya ukuu wa mkoa na ukuu wa wilaya, DAS nk
Huwezi kucheza disco kama hakuna wapiga ngoma.View attachment 364752
Wapiga dili,wauza unga,wachezesha disco,walanguzi,wapiga ramli,wabinafsi,wanyang'anyi,walafi,mafisadi,na wote wanaofanana na hizi characters kamwe hawatafanikiwa kutawala nchi hii kupitia white house labda watafute makazi mengine.
......
KILA LA KHERI MY PRESIDENT.
DIRANQW.
Wapi MV Dar es salaamWAPI LUGUMI?WAPI UUZAJI WA NYUMBA KIHOLELA?
Huwezi kucheza disco kama hakuna wapiga ngoma. Je ni kwa nini na vipi mwenye kupiga ngoma na kucheza disco amefanikiwa kutawala wadanganyika?View attachment 364752
Wapiga dili,wauza unga,wachezesha disco,walanguzi,wapiga ramli,wabinafsi,wanyang'anyi,walafi,mafisadi,na wote wanaofanana na hizi characters kamwe hawatafanikiwa kutawala nchi hii kupitia white house labda watafute makazi mengine.
......
KILA LA KHERI MY PRESIDENT.
DIRANQW.
Imepelekwa kwa fundi wa mwendokasi ili kuwekwa "jet engine" iweze kuogelea au kuruka kwa mwendokasi inapoelekea Bagamoyo.Wapi MV Dar es salaam
View attachment 364752
Wapiga dili,wauza unga,wachezesha disco,walanguzi,wapiga ramli,wabinafsi,wanyang'anyi,walafi,mafisadi,na wote wanaofanana na hizi characters kamwe hawatafanikiwa kutawala nchi hii kupitia white house labda watafute makazi mengine.
Walioingia kwenye nafasi za umma na wakabahatika kuingia kwenye ofisi hii waliondoka kwa aibu na wengine wataondoka kwa aibu kubwa zaidi ''IKULU NI MAHALI PATAKATIFU''.Nina heri na amani moyoni kwa Rais Dr.Magufuli kwa kuendelea kufanya usafi wa uhakika ndani na nje ya muhimili wa mti huu mweupe.Kila la kheri na unapoondoka kamwe usiwaachie nchi watu wenye elements nilizorodesha awali hapo juu wapenye tena chonde chonde kiongozi wangu isije kuwa umefanya kazi ya kuwatengenezea ulaji watakaokufuata.
Siyo vizuri hata kidogo kurudia makosa yaleyale walioyofanya waliokutangulia kwenye usimamizi wa nchi na kuacha kwenye mikono salama.Hata kama wakuite kwa majina yote yaliyopo duniani haisaidii ila tu unachofanya ni kwa maslahi wa nchi na kwa dhamira njema bila kumwonea au kumpendelea mtu.
KILA LA KHERI MY PRESIDENT.
DIRANQW.
Magufuli ni MUSA aliyewaongoza waisraeli kuvuka jagwani na mto Jordan. Magufuli is th "gift of God" to Tanzanians. Tuna wajibu wa kujivunia. Long live Magufuli. Tutakupigania kwa akili zetu zote, kwa nguvu zetu zote, kwa roho zetu zote ili aendelee kutuongoza ktk safari ya kuelekea nchi ya ahadi. Na tarehe 23 July akabidhiwe umwenyekiti wa CCM. Watanzania tulichoka kuishi maisha duni wakati baadhi ya watumishi wa umma wakiishi maisha ya ahera ya kifahari kwasababu ya ufisadi. Mtu ana miaka miwili ya ajira, tayari ana gari,ana nyumba. Je vyote hivi kwa muda mfupi kwa mshahara upi? Magufuli kweli umetukomboa watanzania. Sasa tuna amani ya kweli hata kisaikolojia. Usirudi nyuma bali songambele. Tupo nyuma yako kwa mamilioni ya watanzania ambao tumeguswa na kazi yako nzuri. Kweli sasa kwa mara ya pili IKULU NI MAHALI PATAKATIFU.View attachment 364752
Wapiga dili,wauza unga,wachezesha disco,walanguzi,wapiga ramli,wabinafsi,wanyang'anyi,walafi,mafisadi,na wote wanaofanana na hizi characters kamwe hawatafanikiwa kutawala nchi hii kupitia white house labda watafute makazi mengine.
Walioingia kwenye nafasi za umma na wakabahatika kuingia kwenye ofisi hii waliondoka kwa aibu na wengine wataondoka kwa aibu kubwa zaidi ''IKULU NI MAHALI PATAKATIFU''.Nina heri na amani moyoni kwa Rais Dr.Magufuli kwa kuendelea kufanya usafi wa uhakika ndani na nje ya muhimili wa mti huu mweupe.Kila la kheri na unapoondoka kamwe usiwaachie nchi watu wenye elements nilizorodesha awali hapo juu wapenye tena chonde chonde kiongozi wangu isije kuwa umefanya kazi ya kuwatengenezea ulaji watakaokufuata.
Siyo vizuri hata kidogo kurudia makosa yaleyale walioyofanya waliokutangulia kwenye usimamizi wa nchi na kuacha kwenye mikono salama.Hata kama wakuite kwa majina yote yaliyopo duniani haisaidii ila tu unachofanya ni kwa maslahi wa nchi na kwa dhamira njema bila kumwonea au kumpendelea mtu.
KILA LA KHERI MY PRESIDENT.
DIRANQW.
Link Kikwete ni chaguo la mungu-kaja kuikomboa tanzania/tanganyika tumsapoti jamaniMagufi
Magufuli ni MUSA aliyewaongoza waisraeli kuvuka jagwani na mto Jordan. Magufuli is th "gift of God" to Tanzanians. Tuna wajibu wa kujivunia. Long live Magufuli. Tutakupigania kwa akili zetu zote, kwa nguvu zetu zote, kwa roho zetu zote ili aendelee kutuongoza ktk safari ya kuelekea nchi ya ahadi.... Kweli sasa kwa mara ya pili IKULU NI MAHALI PATAKATIFU.