Julius K. Nyerere: Ikulu ni pahali patakatifu, sio pango la wanyang'anyi

upload_2016-5-23_6-9-15.png
JE UNAMKUMBUKA HUYU KIJANA??????????????????????,YUKO WAPI NA ANAFANYA NINI?
 
upload_2016-7-10_8-7-20.png

Wapiga dili,wauza unga,wachezesha disco,walanguzi,wapiga ramli,wabinafsi,wanyang'anyi,walafi,mafisadi,na wote wanaofanana na hizi characters kamwe hawatafanikiwa kutawala nchi hii kupitia white house labda watafute makazi mengine.

Walioingia kwenye nafasi za umma na wakabahatika kuingia kwenye ofisi hii waliondoka kwa aibu na wengine wataondoka kwa aibu kubwa zaidi ''IKULU NI MAHALI PATAKATIFU''.Nina heri na amani moyoni kwa Rais Dr.Magufuli kwa kuendelea kufanya usafi wa uhakika ndani na nje ya muhimili wa mti huu mweupe.Kila la kheri na unapoondoka kamwe usiwaachie nchi watu wenye elements nilizorodesha awali hapo juu wapenye tena chonde chonde kiongozi wangu isije kuwa umefanya kazi ya kuwatengenezea ulaji watakaokufuata.

Siyo vizuri hata kidogo kurudia makosa yaleyale walioyofanya waliokutangulia kwenye usimamizi wa nchi na kuacha kwenye mikono salama.Hata kama wakuite kwa majina yote yaliyopo duniani haisaidii ila tu unachofanya ni kwa maslahi wa nchi na kwa dhamira njema bila kumwonea au kumpendelea mtu.

KILA LA KHERI MY PRESIDENT.

DIRANQW.
 
Attachments

  • upload_2016-7-10_7-58-0.png
    upload_2016-7-10_7-58-0.png
    76.1 KB · Views: 77
Umenena, siku hizi hali imebadirika imefikia hatua hata ukipewa mwaliko rasmi kwenda ikulu, mtu unasita na kujiuliza niende ama nisiende? Hadhi ya Ikulu yetu imerudi.
 
Nilikuwa na rafiki yangu mmoja,baba yake ni mkali ndani na nje ya yumba yake kwa hiyo akawa amemwambia rafiki yake wa kike twende tukamwone baba yangu umsalimie naye akuone.Binti mita mia akasema thubutu baba yako atanitumbua kumbe binti anafahamu mambo yake.
Nimelikumbuka hili baada ya kauli yako mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
View attachment 364752
Wapiga dili,wauza unga,wachezesha disco,walanguzi,wapiga ramli,wabinafsi,wanyang'anyi,walafi,mafisadi,na wote wanaofanana na hizi characters kamwe hawatafanikiwa kutawala nchi hii kupitia white house labda watafute makazi mengine.
Walioingia kwenye nafasi za umma na wakabahatika kuingia kwenye ofisi hii waliondoka kwa aibu na wengine wataondoka kwa aibu kubwa zaidi ''IKULU NI MAHALI PATAKATIFU''.
Nina heri na amani moyoni kwa Rais Dr.Magufuli kwa kuendelea kufanya usafi wa uhakika ndani na nje ya muhimili wa mti huu mweupe.Kila la kheri na unapoondoka kamwe usiwaachie nchi watu wenye elements nilizorodesha awali hapo juu wapenye tena chonde chonde kiongozi wangu isije kuwa umefanya kazi ya kuwatengenezea ulaji watakaokufuata.
Siyo vizuri hata kidogo kurudia makosa yaleyale walioyofanya waliokutangulia kwenye usimamizi wa nchi na kuacha kwenye mikono salama.Hata kama wakuite kwa majina yote yaliyopo duniani haisaidii ila tu unachofanya ni kwa maslahi wa nchi na kwa dhamira njema bila kumwonea au kumpendelea mtu.KILA LA KHERI MY PRESIDENT.
DIRANQW.
Akikuona atakuita mkapige picha usijari
 
Nilikuwa na rafiki yangu mmoja,baba yake ni mkali ndani na nje ya yumba yake kwa hiyo akawa amemwambia rafiki yake wa kike twende tukamwone baba yangu umsalimie naye akuone.Binti mita mia akasema thubutu baba yako atanitumbua kumbe binti anafahamu mambo yake.
Nimelikumbuka hili baada ya kauli yako mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
MAMBO YAKE YEPI?
 
Mleta uzi unaota ndoto za mchana...mahali patakatifu ni Mbingunj..pekee...ikulu kuna utakatifu gani hasa?Mbona unamkufuru Mungu?Bwana akusamehe kwa kuwa hujui utendalo.ni njaa zako na kubembeleza mauteuzi haramu ya ukuu wa mkoa na ukuu wa wilaya, DAS nk
 
Hisia zako tu rafiki yangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Endelea kusifu atakukumbuka kwenye teuzi.
 
Mahali patakatifu ni Mbinguni.l,huwezi..linganisha ikulu ya magamba na mbinguni. Huo ni upunguani na ulimbukeni uliopitiliza.hata kama unahitaji teuzi haramu...
 
View attachment 364752
Wapiga dili,wauza unga,wachezesha disco,walanguzi,wapiga ramli,wabinafsi,wanyang'anyi,walafi,mafisadi,na wote wanaofanana na hizi characters kamwe hawatafanikiwa kutawala nchi hii kupitia white house labda watafute makazi mengine.

......
KILA LA KHERI MY PRESIDENT.

DIRANQW.
Huwezi kucheza disco kama hakuna wapiga ngoma.

Mkulu ni guru wa yote mawili.

View attachment 364752
Wapiga dili,wauza unga,wachezesha disco,walanguzi,wapiga ramli,wabinafsi,wanyang'anyi,walafi,mafisadi,na wote wanaofanana na hizi characters kamwe hawatafanikiwa kutawala nchi hii kupitia white house labda watafute makazi mengine.
......
KILA LA KHERI MY PRESIDENT.

DIRANQW.
Huwezi kucheza disco kama hakuna wapiga ngoma. Je ni kwa nini na vipi mwenye kupiga ngoma na kucheza disco amefanikiwa kutawala wadanganyika?

Sasa hivi naona zile nyasi mle ndani zitastawi vizuri,maana kipindi cha nyuma,zilikuwa haziiishi kukanyagwa na umati wa waalikwa.
 
Magufi
View attachment 364752
Wapiga dili,wauza unga,wachezesha disco,walanguzi,wapiga ramli,wabinafsi,wanyang'anyi,walafi,mafisadi,na wote wanaofanana na hizi characters kamwe hawatafanikiwa kutawala nchi hii kupitia white house labda watafute makazi mengine.

Walioingia kwenye nafasi za umma na wakabahatika kuingia kwenye ofisi hii waliondoka kwa aibu na wengine wataondoka kwa aibu kubwa zaidi ''IKULU NI MAHALI PATAKATIFU''.Nina heri na amani moyoni kwa Rais Dr.Magufuli kwa kuendelea kufanya usafi wa uhakika ndani na nje ya muhimili wa mti huu mweupe.Kila la kheri na unapoondoka kamwe usiwaachie nchi watu wenye elements nilizorodesha awali hapo juu wapenye tena chonde chonde kiongozi wangu isije kuwa umefanya kazi ya kuwatengenezea ulaji watakaokufuata.

Siyo vizuri hata kidogo kurudia makosa yaleyale walioyofanya waliokutangulia kwenye usimamizi wa nchi na kuacha kwenye mikono salama.Hata kama wakuite kwa majina yote yaliyopo duniani haisaidii ila tu unachofanya ni kwa maslahi wa nchi na kwa dhamira njema bila kumwonea au kumpendelea mtu.

KILA LA KHERI MY PRESIDENT.

DIRANQW.
View attachment 364752
Wapiga dili,wauza unga,wachezesha disco,walanguzi,wapiga ramli,wabinafsi,wanyang'anyi,walafi,mafisadi,na wote wanaofanana na hizi characters kamwe hawatafanikiwa kutawala nchi hii kupitia white house labda watafute makazi mengine.

Walioingia kwenye nafasi za umma na wakabahatika kuingia kwenye ofisi hii waliondoka kwa aibu na wengine wataondoka kwa aibu kubwa zaidi ''IKULU NI MAHALI PATAKATIFU''.Nina heri na amani moyoni kwa Rais Dr.Magufuli kwa kuendelea kufanya usafi wa uhakika ndani na nje ya muhimili wa mti huu mweupe.Kila la kheri na unapoondoka kamwe usiwaachie nchi watu wenye elements nilizorodesha awali hapo juu wapenye tena chonde chonde kiongozi wangu isije kuwa umefanya kazi ya kuwatengenezea ulaji watakaokufuata.

Siyo vizuri hata kidogo kurudia makosa yaleyale walioyofanya waliokutangulia kwenye usimamizi wa nchi na kuacha kwenye mikono salama.Hata kama wakuite kwa majina yote yaliyopo duniani haisaidii ila tu unachofanya ni kwa maslahi wa nchi na kwa dhamira njema bila kumwonea au kumpendelea mtu.

KILA LA KHERI MY PRESIDENT.

DIRANQW.
Magufuli ni MUSA aliyewaongoza waisraeli kuvuka jagwani na mto Jordan. Magufuli is th "gift of God" to Tanzanians. Tuna wajibu wa kujivunia. Long live Magufuli. Tutakupigania kwa akili zetu zote, kwa nguvu zetu zote, kwa roho zetu zote ili aendelee kutuongoza ktk safari ya kuelekea nchi ya ahadi. Na tarehe 23 July akabidhiwe umwenyekiti wa CCM. Watanzania tulichoka kuishi maisha duni wakati baadhi ya watumishi wa umma wakiishi maisha ya ahera ya kifahari kwasababu ya ufisadi. Mtu ana miaka miwili ya ajira, tayari ana gari,ana nyumba. Je vyote hivi kwa muda mfupi kwa mshahara upi? Magufuli kweli umetukomboa watanzania. Sasa tuna amani ya kweli hata kisaikolojia. Usirudi nyuma bali songambele. Tupo nyuma yako kwa mamilioni ya watanzania ambao tumeguswa na kazi yako nzuri. Kweli sasa kwa mara ya pili IKULU NI MAHALI PATAKATIFU.
 
Magufi

Magufuli ni MUSA aliyewaongoza waisraeli kuvuka jagwani na mto Jordan. Magufuli is th "gift of God" to Tanzanians. Tuna wajibu wa kujivunia. Long live Magufuli. Tutakupigania kwa akili zetu zote, kwa nguvu zetu zote, kwa roho zetu zote ili aendelee kutuongoza ktk safari ya kuelekea nchi ya ahadi.... Kweli sasa kwa mara ya pili IKULU NI MAHALI PATAKATIFU.
Link Kikwete ni chaguo la mungu-kaja kuikomboa tanzania/tanganyika tumsapoti jamani

Link2. Kikwete aliitwa chaguo la Mungu, leo yanajirudia kwa Magufuli. Nini kilimfanya Kikwete ashindwe?

Link3. J.P Magufuli sio chaguo la Mungu

Kwa nini "gift of God" inaomba iombewe kwa Mungu? Je "gift of God" haijitambui kwamba Mungu ameitowa "gift" kwa wadangayika ili iwatumbue na iwaamshe kutoka usingizini?
 
Back
Top Bottom