Julius Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari nchini Uganda, Julai 1988

Julius Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari nchini Uganda, Julai 1988

Asingedai uhuru tungekuwa mbali sana kina maendeleo kisiasa kiuchumi na kijamii.
Ubabe wa Hittler ukasababisha wajerumani wafukuzwe Tanganyika.
Bila hittler tukawa na wajerumani tungeizidi Ubelgiji,ureno Spain kwa maendeleo.
 
Kwa hiyo Julius Nyerere alikuwa anatumia chatered flights ???

Hold the presses!

The paragon of modesty and champion of the poorest of African peasants? Lived such a double life ???? Mbeba bendera ya wanyonge na masikini wa Afrika ?

Kama serikali ilitumia charted flight basi hilo ni loss kubwa zaidi maana tulili overpay hilo charted flight kwa mtu mmoja, just too big a plane! Na ni nani kalipia hilo charter flight, Nyerere kajilipia au ni kodi zetu ?? You are buttressing my point here: Reckless spending!

Halafu unaniuliza kama nilikuwa flight attendant kujua losses za ndege, flight attendant huwa anajua finances za ndege ????? Losses za kampuni, mishahara na posho za crew wenzie, landing fees, mafuta, vibali na leseni vimelipiwa shiing ngapi mwezi huu na ule, anajua ????

Sitegemei kiongozi wa third world, no less Julius Nyerere, atumie chartered flights au dege la Rais. Wasteful spending. Halafu waje watuambie hawana hela ya school lunch programs ?
Tukaombe USAID ?
Kwani Nyerere alikuwa ameenda Uganda hiyo Julai ya 1988 kama nani? Rais wa Tanzania? Mwenye kiti wa CCM? Mwenye kiti wa South Commission? Mwakilishi wa Tanzania? Au mgeni mwalikwa / wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni na chama chake cha NRM?
 
Kwani Nyerere alikuwa ameenda Uganda hiyo Julai ya 1988 kama nani? Rais wa Tanzania? Mwakilishi wa Tanzania? Au mgeni mwalikwa / wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni na chama chake cha NRM?
Kwani mgeni mwalikwa analipiwa usafiri na mwenyeji?

Kwa hiyo Samia juzi alipoalikwa Italy akaenda na ATC unadhani alitanguliziwa hela ya mafuta na Italy ?

Na lile "charter flight" la Nyerere lilikuwa na bendera ya Tanzania. Which means Mu7 hakutuma ndege. Kwa hiyo Mu7 alituma hela ya mafuta na manhours za crew, you think so?

hahahahaaaaa
 
Kwani mgeni mwalikwa analipwa usafiri na mwenyeji?

Kwa hiyo Samia juzi alipoalikwa Italy akaenda na ATC unadhani alitanguliziwa hela ya mafuta na Italy ?

hahahahaaaaa
Kwa nini mgeni mwalikwa ambaye ni mstaafu asilipiwe usafiri na aliyemwalika?

Samia alienda Italy kama Samia mtu binafsi au Samia Rais wa Tanzania?

Julai 14-17 1988 Julius Nyerere alienda Uganda kama Julius Nyerere Rais wa Tanzania au Julius Nyerere Rais mstaafu wa Tanzania?
 
Kwa nini mgeni mwalikwa ambaye ni mstaafu asilipiwe usafiri na aliyemwalika?

Kwa sababu ndege ilikuwa na bendera ya Tanzania.

Mu7 hakutuma ndege.

Do you think Museveni alilipa hela ya mafuta na manhours za crew kwa ndege ya Tanzania ?
 
Kwa sababu ndege ilikuwa na bendera ya Tanzania.

Mu7 hakutuma ndege.

Do you think Museveni alilipa hela ya mafuta na manhours za crew kwa ndege ya Tanzania ?
Kwani ndege ikiwa na bendera ya Tanzania haiwezi kukodishwa na Waganda imbebe mgeni wao?
 
Kwani ndege ikiwa na bendera ya Tanzania haiwezi kukodishwa na Waganda imbebe mgeni wao?

Aviation ilikuwa njia kuu ya uchumi, Nyerere hakuruhusu biashara binafsi kwenye njia kuu za uchumi. Marufuku yaliondolewa mwaka wa 1991.

Lakini sisi na Uganda ndio wale wale, kama Nyerere alitumia huduma za biashara za charter flight basi aliitia hasara NRM na Uganda, nchi changa na masikini wenzie. Angesafiri na commercial flight angepungukiwa nini ?

Wewe unaona ni sawa kwa viongozi wa dirt-poor third world kutembea na charter flights ?
 
Back
Top Bottom