Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

Kiukweli mikoa yenye waislamu wengi ni Lindi,mtwara,pwani,Tanga,Tabora na kigoma sasa hiyo 68% walifikaje?
Kaambiwa na sheikh Mazinge na Dr Sulle.Mwanza (Kanda ya ziwa), Mbeya (Nyamda za juu kusini),Arusha (Kanda ya kaskazini) majority wanajulikana na Dar ni 50/50 sasa huo wingi wao unatoka wapi.
 
Mfano;- mwaka 2012 walikuwa wanalazimisha kwenye sensu kuwe na kipengele cha kujua dini ipi wako wengi
Kikwete alikataa wazi wazi

Kuna mda unajiuliza kwanini wanalazimisha wao ni wengi
2012 waislam walilazimisha kiwekwe kipengele Cha dini kwa sababu ya takwimu za uwongo kwenye kalenda za ofisi ya Waziri mkuu,Cha ajabu wapingaji wa hicho kipengele walikua akina kadinali pengo
 
Uwiano wa waislam na wakatoliki pekee katika mikoa hiyo utakushangaza mzee.Nyie ni wachache.
Wakatoliki kwa maneno yenu mlisema mpo 13m,juzi walutheri mbele ya mama wamesema wapo 8m,piga hesabu,ruvuma na singida ni wazi waislam wengi, huwezi nidanganya hilo
 
Mwalimu alitawala maiti asingeweza ongoza watu kwa sasa
Yaan unafananisha kizazi kile na hiki kinachoendeshwa na propaganda, undergraduate hana skills yoyote na hana uhakika kile alichohitimu chuoni, kuwa serious kwasasa kuna generation mbovu kabisa ambayo inaweza kuburuzwa sio kuongozwa tu na yoyote yule.
 
2012 waislam walilazimisha kiwekwe kipengele Cha dini kwa sababu ya takwimu za uwongo kwenye kalenda za ofisi ya Waziri mkuu,Cha ajabu wapingaji wa hicho kipengele walikua akina kadinali pengo
Kwa hiyo pengo anamamlaka zaidi ya kikwete
Kikwete muislamu alishindwa nini kukiweka kipengele cha dini kwamba alikua anamuogopa pengo
 
Wakatoliki kwa maneno yenu mlisema mpo 13m,juzi walutheri mbele ya mama wamesema wapo 8m,piga hesabu,ruvuma na singida ni wazi waislam wengi, huwezi nidanganya hilo
Kwanini unalazimisha kwamba waislamu ni wengi
Ndo maana nyerere namsupport alivyo-wacancel wale wapigania uhuru wa kiislamu alikua sahii kabisa

Kama sio utashi wa nyerere hii nchi ingekua kama nigeria ya kaskazini au somalia
 
Nalazimisha au nasema kweli!?..tafuta sensa ya 1958,ukiristo umeenezwa kupitia shule na huduma zingine za jamii,mpaka 1920s Kuna wakatoliki waiozidi 500 dar,kila mji mjini dini ilikua uislam,ikifuatiwa na upagani, Nyerere kuwapiga Vita waislam ni ili kulisimika kanisa,ndiyo walau kanisa limepata wafuasi
 
Kwa hiyo pengo anamamlaka zaidi ya kikwete
Kikwete muislamu alishindwa nini kukiweka kipengele cha dini kwamba alikua anamuogopa pengo
Uelewa wako mbuzi,kupinga maana yake nini!?..nimesema wapingaji walikua akina pengo msitari wa mbele sikusema walioamua column ya dini isiwepo ni akina pengo,uwe unaelewa
 
Ni bora nchi hii baba wa taifa alikua nyerere tofauti na hapo watu wa dini nyingine tofauti na uislamu wangekua na hali mbaya sana
 
Nyerere alipewa nyumba na waislam pale magomeni Aishi na familia yake,walikua wakimlisha pia, Nyerere alikua mkiristo na TANU walianzisha waislam,Wala hawakumbagua kwa dini yake,Ila yeye alikua pale kwa agenda maalum ya udini
 
Kuna mda nakuona uko sahii ila pia kuna mda mwingine namuona nyerere alikua sahii kwa uamuzi wake ambao unaochukuliwa sio wa-kistaarabu

Hao wapigania uhuru wa-dini ya kislamu wanahaki ya kuwa recognize ila inavyoonekana walikua wanataka jambo lingine zaidi ndo maana nyerere aliamua kuwa-cancel sababu hakufanya vile kwa bahati mbaya
Chan...
Ningeweza kukuuliza ni jambo gani lilitakiwa lakini sioni tija ya kubishana.

Nimeieleza historia ya uhuru ili ika sawa.

Hili nimefanikiwa sana.
Kwangu nimetosheka.
 
Nyerere alipewa nyumba na waislam pale magomeni Aishi na familia yake,walikua wakimlisha pia, Nyerere alikua mkiristo na TANU walianzisha waislam,Wala hawakumbagua kwa dini yake,Ila yeye alikua pale kwa agenda maalum ya udini
Unaweza ukawa unamsaidia mtu kwa matarajio yako mabaya mbeleni sio kila mtu anayemsaidia mtu anania nzuri

Uzuri mmoja nyerere naye alikua mwerevu alijua nia yao
 
Hakuwa mwerevu,huwezi Jenga misingi ya udini kwenye nchi ambayo hao unaopanga kuwabagua ndiyo wengi,baada ya kuacha ualimi kisa siasa na sheria hazikirihusu kufanya vyote,hakuwa na kipato,ikabidi wamlishe,matokeo yake akaja kuwafunga jela 1968
 
Misingi ya kidini nawakati alimuachia mwinyi muislamu nchi
Mpaka uhuru mpaka sahivi tuna marais waislamu watatu alafu unasema nyerere alikua mdini

Tanzania muislamu anaruhusiwa kumiliki ardhi au biashara sehemu yeyote ile
 
Hakuwa mwerevu,huwezi Jenga misingi ya udini kwenye nchi ambayo hao unaopanga kuwabagua ndiyo wengi,baada ya kuacha ualimi kisa siasa na sheria hazikirihusu kufanya vyote,hakuwa na kipato,ikabidi wamlishe,matokeo yake akaja kuwafunga jela 1968
Nikwambie kitu,Bila Nyerere usingekuwa unayaandika haya humu.Ungekuwa bodaboda au kamanda wa mapigano kule Newala.
 
Back
Top Bottom