Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

Sifa wanazommiminia kina Warioba, Butiku, Rostam, Na kijana mdogo Paul Makonda ndugu Lowasa inashangaza sana kwanini hawakumruhusu kuwa Rais wa nchi hii, je ukielewa vyema kilichomuu Sokoine hutapata tabu kufahamu hilo? Acha chama lisonge
 
Naomba nikurekebishe kidogo

1) Unasema wakati wa kumtangaza Benjamin Mkapa kuwa Mgombea Urais 1995 idadi ya kura haikutangazwa, si kweli kura zilitangazwa mara zote mbili, kwny duru ya kwanza JK aliwazidi Mkapa na Msuya na kwny duru ya Pili ya JK na Mkapa, Hayati Mkapa akaibuka kidedea

2) Cleopa Msuya hakuwa kwny Cabinet ya Mkapa na hata Edward Lowassa hakuingia kwny Cabinet kwny duru ya kwanza, baada ya miaka kama miwili ndipo Edward akateuliwa Waziri
 
Nimeshapeleka pingamizi kuwa huyu hafai kuwa Mtakatifu! Pingamizi wa kwanza ni ule ushirikina wa lile limzimu la "mrunda". Fitna kibao Huyu alimtesa Kasim Hanga halafu akamrudisha karume akamchinja
 
Alipokosa uaminifu akiwa Tanu Youth League sio kwamba alitajirika. Mtu asiye mwaminifu hata kalamu ya kuandikia ataisogeza tu
Hahhaa Mkuu kuna vitu sio lazima kuendekeza Chuki!.

Lowasa kazaliwa mwaka 1953, Kajiunga na Tanu Youth mwaka 1965,

maana yake kajiunga Akiwa na miaka 12,Na huku akiwa Darasa la Tano au Std V..

Sasa kijana wa Darasa La tano Kaibiaje serikalli...?
Dah hata kma ni.chuki bhasi imetosha

Tukumbuke Wakati huo Wazazi wake Mzee Ngoyai alikuwa Anafanya kazi Ofiisi ya mkuu wa Wilaya ya monduli na aliachiwa mifugo ya kutosha..

Kuna vitu kuvuaminin inabidi ukose Ubongo..
Ukinionyosha Ufisadi wowote aliofanya Lowasa itakuwa poa zaidi..
 
Alikuwa mwizi au Tajiri kuna vitu huwa hamvielewi..
Kulikuwa na pesa gani Huko CCM kipind cha TANU za kuibiwa
Watu hawajui Masai ni matajiri sana... Anafuga ng'ombe wa kutosha. Sasa kama vile lowasa alikuwa na exposure lazima Ile mifugo na mazao yake yalimletea fedha nyingi sana za kigeni.... TANU NA CCM ZILIKUWA HAZINA HELA YOYOTE YA KUIBWA...WIVU TU ULIKITHIRI KUONEA WIVU MATAJIRI NA WAJANJA
 
Mbona hauja sema aliiba nini zaidi ya kusema alifukuzwa,weka ushaidi wa wizi wake sio porojo.
 
Kule Mbulu walimkataa mgombea wa Nyerere na kumchagua mgombea binafsi. Hata hiyo 1995 jina la Dr Slaa lilikatwa akahamia CHADEMA na kushinda. Hayati Mwalimu alikuwa na ishu za kiwaki sana linapokuja suala la uchaguzi.
Na ndo mwasisi wa kupindua matokeo ya chaguzi ndani ya taifa hili pale ambapo hayakwenda kulingana na maono yake.
 
Hata asingevumilia kwani angefanya kipi? Ushawishi watu Kwa pesa harafu uje useme unakubalika?

Kila siku Huwa nawaambia hata humu kwamba System haiwezi kukubali kumpoteza Kiongozi aliyeleta mapinduzi makubwa kwenye nyanja zote za Uchumi kisa eti nyie hamumkubali.Hapa namzungumza Samia.

Nyie pigeni kampeni mnazoweza,andamaneni,wekeni Kila fitna ila Rais ni Samia Hadi 2030.
 
Kwa nini hakufukuzwa kabisa chamani au serikalini? Kwa nini hakuwahi kufikishwa mahakamani kufunguliwa kesi?
 
Kwa nini hakufukuzwa kabisa chamani au serikalini? Kwa nini hakuwahi kufikishwa mahakamani kufunguliwa kesi?
Adhabu alizopewa zilimtosha,sio Kila kosa ni mahakamani makosa mengine ukatwa tuu unaachwa 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…