Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

Na siku hizi waliokubali huo upumbavu ili wasionekane wezi,au fisadi, ndo hawa wamekubali kuitwa wanyonge.
 
Umaskini unakusumbua
 
Nilitamani sana hizo hoja ziwezinawekwa hadharani tuzijue na wengine pia wenye matarajio wawe wanajinoa kuziondoa.
 
Kura zilitangazwa,nyie vijana mnakwama wapi?,mbona mnaongea na kuandika vitu visivyokuwepo?
 
Kura zilitangazwa,nyie vijana mnakwama wapi?,mbona mnaongea na kuandika vitu visivyokuwepo?
Mkuu Mwaka 1995 nilikuwa ni kijana Safi na mdogo na nilikuwa UVCCM safi kabisa nikiwa na miaka 23..
Kwahyo najua ninachokisema..

Na ndo maana nimeomba kwa yeyeto aliye na matokeo Ya mwka 1995 yakitaja Namba za kura anionyeshe mbona simple Tu..
 
jamii ya kishamba iliyokuwa nyuma ya fikra zake za mitikasi ya kujitafuta maishani.
SHERIA ya PCCB na ya Maadili ya Viongozi inapinga "mitikasi ya kujitafutia maishani," ambayo serikali haiijui.

Ndo maana:

1/ kuonekana na mali kuliko salary scale yako ni reasonable suspicion ya ku justify wewe kuchunguzwa na PCCB
2/ kiongozi anaorodhesha utajiri na umaskini wake siku anaingia, na kila mwaka. Kwa nini?

Huwezi kuwa na dhamana ya kusaini mabilioni ya manunuzi na mikataba ya umma, na kugawa mapande ya nchi kwa wawekezaji halafu tunakuona una ma mabilioni ya mali, ukiulizwa kwenye vikao vya michujo ya chama unasema nina "mitikasi ya kujitafutia maisha." Itaje ! Tuonyeshe ankara za mitikasi yako, sina, mitikasi yangu ni halali ila ni ya juu kwa juu, inafanyika mahotelini na kwenye simu, na ma njiani, hakuna registered business. Ahaaa, kwa hiyo unapata lakini hulipi kodi ya mapato wanayolipa wenzio Kariakoo? Oooh, naonewa! Ohh, nyinyi washamba wa maisha.


Wewe usiyeheshimu sheria ndio mshamba! NI SHERIA.
 
Wengi washindwa kuelewa kwamba marehemu Lowasa alianza kushika pesa akiwa kijana sana.

Alipokuwa DG wa AICC Arusha ndipo palipomnyanyua na kuwa na uwezo mkubwa wa kifedha na connections mbalimbali kutokana na "exposure" yake na backgound yake yaani alikosoma Ulaya.

Mtu wa namna hiii hawezi kukaa mahala pamoja na mjamaa kwani mitazamo yao itakuwa tofauti.
 
ungemuuliza Sokoine ni kitu gani alifanya Lowassa akaletwa Dar kijiweni mpaka akaombewa msamaha ndio akarudishwa kundini. Nyerere alishamuwekea X huyu mwizi siku nyingi. Japo simuungi au sikumuunga mkono Nyerere kwa mambo mengi lakini hili la kufumbua macho WaTZ wengi kuhusu mfisadi Lowasa namshukuru mno. Ukweli mimi nilikuwa miongoni mwa waliomshabikia sana Lowasa 1995 lakini baada ya Nyerere kumwanika na hapo na yeye mwenyewe Lowasa kuonyesha waziwazi alivyo duuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…