Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

Kumbe hii kasumba ya mwenye pesa kuonekana mwizi imeanza kututafuna miaka mingi sana, kama unaamini mtu ameiba, na ushahidi unao, mpeleke mahakamani, shida iko wapi?!

Lakini kumnyima haki zake kwa madai ya kihisia, kwasababu tu anaonekana ana pesa ni kumuonea. Lowassa amevumilia mengi toka kwenye jamii ya kishamba iliyokuwa nyuma ya fikra zake za mitikasi ya kujitafuta maishani.

- Jamii inayoona umaskini ni sifa, ndio maana utaskia fulani akijiita mimi mtoto wa maskini. Usipokuwa jasiri mtanzania unaweza kuacha kupambania maisha yako kwa kuogopa kuitwa mwizi!.

Ajabu kuanzia miaka hiyo mpaka miaka ya karibuni bado akawa anaitwa fisadi, kumbe tumerithi tabia ya kuhukumu kwa hisia bila udhahidi toka enzi za Nyerere, tukawa bado tunaishi nayo mpaka sasa, hili ni tatizo la jamii ya kitanzania - awe mpinzani au chama tawala.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Na siku hizi waliokubali huo upumbavu ili wasionekane wezi,au fisadi, ndo hawa wamekubali kuitwa wanyonge.
 
acha kujitoa akili na hizi diversion tactics, unaleta mbanga za waisrael ukipinga uhalifu wao, wanakulabel antisemite. Hakuna mtu mwenye shida na utajili wake, bali wizi wa mali za umma na wakihojiwa, madalali wanufaika wa michongo yao kama wewe, mnatetea kuwa watu wanachuki na matajiri. Yule chenge watu wakihoji wizi wake, ndio inakua wanamchukia kisa yeye tajiri. Mtu anayemtetea fisadi kama wewe mnapaswa kuchukiwa na kuadhibiwa vikali.
Umaskini unakusumbua
 
Nilitamani sana hizo hoja ziwezinawekwa hadharani tuzijue na wengine pia wenye matarajio wawe wanajinoa kuziondoa.
 
We unahisi kwanini Kipind hicho lawama zilienda kwa Nyerere zote watu wakawa wanamsema katumia Vigezo gani kumkataa Lowasa..

Na baadae Team.ya ENL ikahamia kwa JK..
Akashtuka Pia na ndo maaana Inasemekana hata JK alishinda Mwaka 1995 ila Matokeo akapewa Ben na hata Kama unakumbuka Kura hazikutangazwa ila alitangazwa mshindi wa kwnza mpaka wa tatu bila kura zao
Kura zilitangazwa,nyie vijana mnakwama wapi?,mbona mnaongea na kuandika vitu visivyokuwepo?
 
Kura zilitangazwa,nyie vijana mnakwama wapi?,mbona mnaongea na kuandika vitu visivyokuwepo?
Mkuu Mwaka 1995 nilikuwa ni kijana Safi na mdogo na nilikuwa UVCCM safi kabisa nikiwa na miaka 23..
Kwahyo najua ninachokisema..

Na ndo maana nimeomba kwa yeyeto aliye na matokeo Ya mwka 1995 yakitaja Namba za kura anionyeshe mbona simple Tu..
 
jamii ya kishamba iliyokuwa nyuma ya fikra zake za mitikasi ya kujitafuta maishani.
SHERIA ya PCCB na ya Maadili ya Viongozi inapinga "mitikasi ya kujitafutia maishani," ambayo serikali haiijui.

Ndo maana:

1/ kuonekana na mali kuliko salary scale yako ni reasonable suspicion ya ku justify wewe kuchunguzwa na PCCB
2/ kiongozi anaorodhesha utajiri na umaskini wake siku anaingia, na kila mwaka. Kwa nini?

Huwezi kuwa na dhamana ya kusaini mabilioni ya manunuzi na mikataba ya umma, na kugawa mapande ya nchi kwa wawekezaji halafu tunakuona una ma mabilioni ya mali, ukiulizwa kwenye vikao vya michujo ya chama unasema nina "mitikasi ya kujitafutia maisha." Itaje ! Tuonyeshe ankara za mitikasi yako, sina, mitikasi yangu ni halali ila ni ya juu kwa juu, inafanyika mahotelini na kwenye simu, na ma njiani, hakuna registered business. Ahaaa, kwa hiyo unapata lakini hulipi kodi ya mapato wanayolipa wenzio Kariakoo? Oooh, naonewa! Ohh, nyinyi washamba wa maisha.


Wewe usiyeheshimu sheria ndio mshamba! NI SHERIA.
 
SHERIA ya PCCB na ya Maadili ya Viongozi inapinga "mitikasi ya kujitafutia maishani," ambayo serikali haiijui.

Ndo maana:

1/ kuonekana na mali kuliko salary scale yako ni reasonable suspicion ya ku justify wewe kuchunguzwa na PCCB
2/ kiongozi anataja utajiri na umaskini wake siku anaingia, na kila mwaka. Taja tukujue.

Huwezi kuwa na dhamana ya kusaini mabilioni ya manunuzi na mikataba ya umma, na kugawa mapande ya nchi kwa wawekezaji halafu tunakuona una ma mabilioni ya mali, ukiulizwa kwenye vikao vya michujo ya chama unasema nina "mitikasi ya kujitafutia maisha." Itaje ! Tuonyeshe ankara za mitikasi yako, sina, mitikasi yangu ni halali lakini ni ya juu kwa juu, mkono kwa mkono, inafanyika mahotelini na kwenye simu, na ma njiani, hakuna registered business. Ahaaa, kwa hiyo hulipi kodi ya mapato wanayolipa wenzio Kariakoo? Oooh, naonewa!


Wewe usiyeheshimu sheria ndio mshamba! NI SHERIA.
Wengi washindwa kuelewa kwamba marehemu Lowasa alianza kushika pesa akiwa kijana sana.

Alipokuwa DG wa AICC Arusha ndipo palipomnyanyua na kuwa na uwezo mkubwa wa kifedha na connections mbalimbali kutokana na "exposure" yake na backgound yake yaani alikosoma Ulaya.

Mtu wa namna hiii hawezi kukaa mahala pamoja na mjamaa kwani mitazamo yao itakuwa tofauti.
 
Hahhaa Mkuu kuna vitu sio lazima kuendekeza Chuki!.

Lowasa kazaliwa mwaka 1953, Kajiunga na Tanu Youth mwaka 1965,

maana yake kajiunga Akiwa na miaka 12,Na huku akiwa Darasa la Tano au Std V..

Sasa kijana wa Darasa La tano Kaibiaje serikalli...?
Dah hata kma ni.chuki bhasi imetosha

Tukumbuke Wakati huo Wazazi wake Mzee Ngoyai alikuwa Anafanya kazi Ofiisi ya mkuu wa Wilaya ya monduli na aliachiwa mifugo ya kutosha..

Kuna vitu kuvuaminin inabidi ukose Ubongo..
Ukinionyosha Ufisadi wowote aliofanya Lowasa itakuwa poa zaidi..
ungemuuliza Sokoine ni kitu gani alifanya Lowassa akaletwa Dar kijiweni mpaka akaombewa msamaha ndio akarudishwa kundini. Nyerere alishamuwekea X huyu mwizi siku nyingi. Japo simuungi au sikumuunga mkono Nyerere kwa mambo mengi lakini hili la kufumbua macho WaTZ wengi kuhusu mfisadi Lowasa namshukuru mno. Ukweli mimi nilikuwa miongoni mwa waliomshabikia sana Lowasa 1995 lakini baada ya Nyerere kumwanika na hapo na yeye mwenyewe Lowasa kuonyesha waziwazi alivyo duuuu
 
Back
Top Bottom