Vizuri ungetujia nivitNan...
Huwa kuna mambo mengine napata shida kuyaeleza kwani najisikia vibaya.
Haya ni yale ambayo wengi mmeyaamini kutokana na mliyojifunza katika historia iliyokuwa si ya kweli.
Hapajakuwa na tatizo baina ya makabila.
Hayo mengine uliyoeleza inahitaji usome hizo rejea nilizoweka: Bergen, Sivalon na Njozi.
Utakutana na mambo ambayo hukuwa unayajua.
Vitabu vina majina? Vinaitwaje tafadhali?Mpaji...
Hapana si lazima usome kitabu changu.
Unaweza ukasoma kitabu cha Bergen (1981), Sivalon (1992) na Njozi (2002).
Kitabu cha Njozi kilipigwa marufuku na serikali.
Hivyo viwili vimeondolewa kimya kimya.
Havitakuwi visomwe.
Observation ni sehemu ya vipengele vinavyotumika katika utafiti lakini kusoma tafiti ni muhimu sana.