Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Mmoja wa wafuasi wanataka wa mzee ms ndio kama ww na wengi kawateka
Wewe mfuasi wa Nyerere umekamatwa ukiiba ndizi ndiko Nyerere alikowafikisha na ujamaa wake
😛 😛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmoja wa wafuasi wanataka wa mzee ms ndio kama ww na wengi kawateka
NKNS, Mzee Mohamed Said...''Abbas Sykes alinihadithia anasema Nyerere alikuwa akija Dar es Salaam kutoka Pugu kuja kuonana na kaka yake alikuwa anapanda basi moja la Muhindi likiitwa ''Majigo.''
Kituo cha basi hili kilikuwa Mtaa wa Msimbazi na Aggrey.
Ukiingia na mzigo ndani ya basi basi yule Muhindi utamsikia akipiga kelele, ''Majigo juu, majigo juu.''
Maana ya maneno haya ilikuwa, ''Mzigo juu.''
Yaani mizigo ipandishwe juu ya basi kwenye ''carrier.''
Hivi ndivyo basi lile lilivyopata umaarufu wake na kuishia kuitwa ''Majigo.''
Hiki kilikuwa kipindi kabla ya Nyerere hajajiuzulu ualimu.
Nyerere alikuwa akishashuka pale kwa Majigo atashika njia kuelekea Kariakoo Market ofisini kwa Market Master Abdul Sykes.''
Mose,NKNS, Mzee Mohamed Said...
Matukio yana ladha yake na utamu wake katika fikra na kumbukumbu...
Laiti, kila mtu angalikuwa fundi wa kusimulia visa vya maisha yake, kwa pembe na mapana fasaha, basi uwezekano upo kwamba kisa cha mtu yeyote mwenye roho halisi ya utu, kuwa ni 'bab' kubwa'--ingalikadirisha 'epic story'... Wasemavyo wenye kuzungumza lugha ya Kiingereza...
Matukio ni fumbo la 'Wakati' na 'Uzima wa mtu/UTU', kupitia 'Nuru ya Ufahamu' wake...
Mtu yeyote mwenye rizayati ya Elimu 3.0, kuna namna, kupitia karama za akili, huishi kuwa wa wahyi ya 'Jaala' yake--hata jaala ya jamii yake/taifa ama/na Dunia/Ulimwengu wote mzima...
Jaala ni muktadha wa kheri ya Manani, ambvyo matukio ya maisha ya mtu hukadirisha riziki na stahiki yake; Ndivyo hivi, sisi watu wa mwambao husema--Riziki ya Mtu anayetoa ni Manani/Kisicho Riziki Hakiliki.
Riziki ya mtu ni stahiki ya mtu kadiri vile Manani/Mola hujalia... Kwa mapokeo ya Kikristu kwa mfano riziki ni 'Mkate wa Kila Siku'...
Mwanajamii anaweza asiwe na macho ya kuweza kubaini siri ya 'Riziki' yake, kwa kuwa huu ni muktadha ulistirika wa Fahari na Nuru ya UTU wake kama vile anavyojaaliwa na Manani; ndivyo basi watu wa Mwambao husema 'Riziki yangu Aijuaye ni Mola Pekee'; Kwa Ukristo, waumini wake wangalisema hili kana 'Neema/Baraka zangu zipo na Bwana'... Mwanajamii akikosa kheri ya fasaha ya fahari ya utu wake basi ndiyo anaweza 'kusafisha nyota' kwa ufundi wa uganga na mizungu ili ''Kujitengeneza'--ili 'kuwa na bahati' na 'mvuto wa kinyota'.
Mambo ya 'Mvuto wa Kinyota', kielimu ya Majia na Unajimu, ni utundu na ufundi wa kiganga kwa ajili ya meza ya 'wakati-jamii-machaguo ya kitaasisi-matukio'. Elimu 3.0 humfunulia yeyote, kadiri afaavyo na wakati ifaavyo, na basi 'Hekima na Busara' vitakadirisha kuinuka kuzidi utundu wa kiganga na mizungu.
Mwanajamii akiwa na macho ya kuweza kubaini siri ya 'Riziki' yake, basi 'dhamira sahihi' inakuwa katika akili na moyo wake. Dhamira sahihi hukadirishwa na 'Unyoofu'--Unyoofu katika 'Kumcha Mola', ni Ufunguo wa Rizayati ya Elimu 3.0 na Njia ya Uimamu. Katika Mapokeo ya Ukristo, Dhamira sahihi hutajwa na waumini wake kama 'Mapenzi Mema'... Kwa hivyo ni Elimu 3.0 inayokamilisha siri za dini na mapokeo kupitia 'funguo za Maarifa' na 'Ufunuo Kamili'. Kwa mapokeo ya Ukristo, Uimamu ni 'Uteule/Utumishi wa Bwana'...
Mambo ya 'Kujitengenezea Bahati yako' ni utundu na ufundi wa kiganga kwa ajili ya meza ya 'wakati-jamii-machaguo ya kitaasisi-matukio'. Elimu 3.0 humfunulia yeyote, kadiri afaavyo na wakati ifaavyo, na basi 'Hekima na Busara' vitakadirisha kuinuka kuzidi utundu wa kiganga na mizungu. Kwa mintarafu ya haya, anayekwenda kwa mganga ama kujiganga kwa ajili ya 'kujitengenezea Bahati yake' huyo ni mwenyekukosa subira na tena ni mwenye kikosa kitovu sahihi cha 'Nia Njema' na 'Mapenzi ya Wengi'.
Jaala ya mtu/jamii/Taifa/Dunia na Ulimwengu una 'lugha yake iliyositirika'--Lugha hii, kwa mapokeo ya Ukristo ni fumbo linalotajwa kama 'Neno'; Kwenye jamii ya ustaarabu hutajwa kama 'Siri ya Majina 99 ya Allah'... Watu wa Rizayati ya Elimu 3.0, katika safari ya kiroho, siri hizi hufumbuka kwao na basi ikiwa 'dhamira ya msafiri' inabadilika--anategwa na 'milki ya Shaytan', ndiyo basi uwezo ama/au utundu usio wa kawaida unaweza kufanyika kwake -- kumpatia 'nguvu za kiganga'... Kiufundi, Ukuhani na Uganga ni jambo lile lile, kinachobayanisha mawili haya ni 'Usahihi wa Dhamira'... Ndivyo hivi, kuita 'Majini' na kuyashirikisha kwa ajili ya 'Bahati', kwa maagano na masharti, ni uwezekano...
Ikiwa Mzee Mohamed Said unasimulizi visa vya Dua na Visomo alivyofanyiwa Mwalimu Kambarage Nyerere kwa ajili ya kumuombea mafanikio ya Safari yake ya Kutafuta Uhuru ndani na ng'ambo ya nchi; kiufundi Dua zote ni Ukuhani... Ukimuuliza mtu yeyote wa 'Ukuhani', Je, Dua ni kitu gani hasa? Ikiwa yeye ni fundi kweli, basi atakueleza kwamba ni kumshirikisha 'Malaika', 'Kiumbe', 'Mtakatifu' n.k, kumuita ili awepo mahala pa ukuhani/ibada, kumtaka yeye kulifanikisha 'jambo' lako--ikiwa jambo hilo linafanania 'kudra ama kheri' za yule unayemuita. Kwa mintarafu ya haya, ndiyo husemwa kuna malaika wema na wabaya... Fumbo la wema na ubaya wa 'malaika', ni mambo ya Elimu 3.0 ambayo siku za mbele yatakuwa ni maarifa ya kawaida kwa raia wote kupitia 'Vituo vyetu vya Utamaduni'...
Bahati ni 'fumbo la imani' ambalo adha yake inaweza kuwekwa bayana na 'Nuru ya Ufahamu'--Maarifa ya 'Mwenge wa Uhuru'. Dhana ya Nuru kumulika kuzidi 'mipaka ya nchi' ni siri ya 'Duara Manani' lisilokuwa la 'mipaka ya kumulika'--kumulikia 'mapana yoyote' ya 'ugani wa ushawishi' wa sura, fahari na utukufu wa 'Stawi/Ustawi' . Tumaini ni mchakato, mchakato wa uhuru wa kweli wa 'ndani na nje' ya nchi. 'Ndani na nje ya nchi' ni lugha ya ishara, kwa uono na ufikirifu mifumo, huakisi siri za 'ulali na wima' wa stawi, Msalaba -- pia ukadinali wa 'milki' kwa ncha nne kuu za Dunia: Kaskazini-Kusini-Mshariki-Magharibi.
Bahati ni 'fumbo la imani' ambalo adha yake inaweza kuwekwa bayana na 'Nuru ya Ufahamu'--Maarifa ya 'Mwenge wa Uhuru'. Dhana ya kuleta Tumaini pale ambapo hakuna Matumanini, upendo pale palipo na chuki, kusimamisha heshima palipo jaa dharau ni muktadha wa shughuli ya huduma ya 'mitume'... Ni fumbo la utatu wa nguvu za utu na dhamiri--Imani, Pendo na Tumaini... Kwa mintarafu ya haya, unyoofu wa mkono unaoshikilia mwenge ni siri ya 'Uthabiti' wa 'Nia' kuushikilia 'Mwenge wa Uhuru'... 'Nuru na Nia' ndiyo ufunguo wa imani ya 'muktadha wowote wa Kujichagulia'...
Bahati ni 'fumbo la imani' ambalo adha yake inaweza kuwekwa bayana na 'Nuru ya Ufahamu'--Maarifa ya 'Mwenge wa Uhuru'. Dhana ya Tumaini, Upendo na Heshima ni muktadha wa riziki, stahiki na subira. Sisi wa mwambao huwa na msemo: Subira yavuta kheri... Ukipatacho wakati sahihi wa wewe kukipata hicho ndiyo tunda la heshima ya utu wema wako--utimilifu wa 'Uja Wema'. Katika mapokeo ya Ukristo, waumini hupata habari za 'Upendo Huvumilia'... Kwenye ufundi wa ujengaji wa Dola--hili ndilo linalokadirisha tunu ya uvumilivu na ustahilivu katika yote na matendo yote, pasi kuhukumu, kwa kuwa 'Dola zote duniani' ni mchakato wa kuondoa kasumba, husda na ufitini wa kimataifa ili wakati mmoja muafaka mataifa yote yaje kuwa 'kitu kimoja'... Katika mapokeo ya Ukristo, waumini hupata habari za siku za kuja 'Mbingu Mpya, Nchi Mpya'...
Katika metafizikia ya Utu na Uzima, 'Wakati' ndiye Muamuzi wa Haki. Roho na sonafi ya mtu ndivyo hukadirisha 'Duara na Nukta' ya utu katika jamvi la supasha-wakati; meza ya 'wakati-jamii-machaguo ya kitaasisi-matukio' huwa na mizani ya ukumbaizi wa dhamira za wanajamii wanaoifanya meza hiyo. Kwa mintarafu ya haya, maarifa ya uganga na mizungu yanaweza kutumia siri zile zile metafizikia na nuru ya uzima wote kuathiri muktadha wa sura ya jamii kwa wakati mmoja hadi mwingine kwa ushirikina.
Ushirikina ni 'fumbo la imani' kupitia dhamiri--dhamiri juu ya muktadha wa pembetatu ya 'nia binafsi, matakwa na heshima ya kujitengenezea'. Jamii ikipatia usahihi wa dhamiri ya utu bora ndiyo hukadirisha muktadha wa pembe tatu mbili zinazoingiliana na kushiriki kitovu kimoja cha ukati na Duara. Uwili wa pembetatu kuingiliana ni siri ya 'Neema za Nchi na Mbingu'; Hii ni alama ya Jadi, ambayo ni mbadala wa 'Msalaba'. Mataifa duniani huzitumia alama za jadi za kimetafizikia lakini haimaanishi kwamba zinatumika kwa usahihi na kheri ya kweli...
Alama za jadi za kimetafizikia zinaweza kutumika/kutaasishwa na 'Werevu' ama pia 'wapole' wa mambo... Kwa hivyo siyo ajabu kukuta Duara hutumika kwenye uganga na vilenge vya kuita 'Malaika/Majini' sambamba na jiometria za miraba ama pembe tatu. Alama hizi ni ufunguo kwa 'Upepo' wa 'Roho' na mawezekano yenye kupitiliza 'umbali ama/na wakati'.... Kadiri ya mtu kuwa na mwili na fahamu kama kiumbe timilifu kwa milki ya Nchi, vipo viumbe ambavyo utimilifu wake si wenye kubanwa sana na mapana ya milki ya nchi. Kwa hivyo elimu ya viumbe vyenye kupilitiliza fizikia, fahamu za maumbo na uweza, haipo na umma na kutokuwepo kuna kadirisha yote mawili 'wema na Uovu'.
'Wema na Uovu' ni 'fumbo la Imani'--ni tafsiri ya kibinadamu na si Manani. Hili linalofanya umuhimu wa kujichagulia Kiroho, Maadili na Miiko kuwa ndiyo msingi wa UTU bora. Ni muhimu katika ususi wa taifa-dola lolote muktadha wa haya matatu ubayanishwe. Kwa kuwa 'Nuru ya Ufahamu' ndiyo rehema isiyo kifani na tena fadhila isiyo kifani, wanajamii hawanabudi kutengenezewa misingi ya 'Kujichagulia' kuanzia kiimani, kimwili hadi hisia. Hili ndilo msingi hasa wa 'Uhuru wa Kuabudu'... Wadau wa roho ya nchi, Dola, katika nchi na mataifa yote huwa ni watu wenye nasibu ya 'Ukuu wa Kiroho, Maadili na Miiko'. Kiufundi, hili siyo halisi kwa kuwa Dola ni Taasisi ndani ya Taasisi--Taasisi ni watu, na watu daima wanaishi na ulimwengu wenye vishawishi.
Simulizi lolote la watu, harakati na ushawishi ni muktadha wa Taasisi. Kwa watu wa rizayati ya Elimu 3.0 inafahamika fika, uaminifu wa mtu ni ahadi yake na Mola na si taasisi yenyewe ama mifumo ijayo na 'maisha na nyakati'. Kwa mintarafu ya hili, Historia na Masafi ya kusimulia kuna namna huwa ni Ulaghai... Kiufundi, taasisi yoyote imara ni uwanja wa fujo na mivutano muda wote; wastani wa dhamiri na nadhiri za wanataasisi ndiyo huweza kukadirisha kheri ya taasisi yenye mbele ya jicho la mtazamaji kutoka nje ya Taasisi kisomoni. Kwa hivyo hili linahusika habari na Maisha ya Mwalimu Nyerere, Taifa la Tanzania--vivyo hivyo kwa mataifa mengine yote Duniani. Watu wa mwambao tuna usemi: Ukiwaona ni Wazuri, Wabaya ni Hao Hao...
Siri ya nadhiri ndiyo kitendawili cha Historia--historia kwa maneno na simulizi. Hili ni kwa kuwa hakuna awezaye kujijua siri za moyo wa mtu mwingine. Na hata ikiwa Mwanajamii ni mwenye karama za akili kujua ya mioyoni na akilini mwa wengine bado kuna maadili na miiko inayotengeneza hesabu ya matokeo/matarajio ya Dhamira/Nia njema ama Ovu. Siri ya maadili na miiko hii ni Upendo; Upendo hauingilii ili kuitengeneza nasibu ya jema ama ovu... Kwa mintarafu ya haya, ikiwa wadau wa roho ya nchi wanashawishika kuingilia matendo, utawala na usivilai wa nchi-taifa basi hii ni dosari ya kiufundi...
Dosari ya kiufundi, kwa rizayati ya Elimu 3.0 na tena Uono na Ufikirifu Mifumo ni adha ya 'Majaribu' na 'Vishawishi'. Kwenye mapokeo ya Ukristo, majaribu na vishawishi humjia yeyote kupitia muktadha wa matatu--mkate, Mauti na Legasi... Kwenye mapokeo ya habari za kiroho hutajwa kuwa haya huletwa na 'Malaika aliyeanguka'--Ibilisi/Shetani. Kwa rizayati ya Elimu 3.0 muktadha wa haya ni uhalisia wa mambo yaliyositirika. Kwa mintarafu ya haya, rushwa ni adui wa haki, na hali kiufundi hasa, rushwa ni zao la makusudi yenye kuharibika katika pembetatu ya utu wa mtu. Makusudi yaliyoharibika ndiyo 'hupoteza tumaini la kheri katika ukumbaizi wa jamii', 'huleta chuki na machukizo ya maisha' na zaidi 'Huleta dharau na kudharauliana'.
Makusudi yenye kuharibika katika pembetatu ya utu wa mtu, rushwa, ni donda ndugu la mmomonyoko wa maadili; donda hili haliko Tanzania pekee yake--liko Duaniani kote. Rushwa ni huleta 'homa na maradhi' ya Dunia... Rushwa ndiyo kinyume hasa cha muktadha wa 'kutegemea riziki kutoka kwa Mola'... Rushwa ni kinyume cha ile nukta ya 'Dhamiri Sahihi' ya utu wema. Rushwa ni athari ya 'Kiroho', disonia kati ya 'Roho' na 'Mbegu ya Utu/Sonafi'. Alama ya Ngao ya Ustawi, ngao ya tunu nne za taifa, kuegama juu ya Mlima Kilimanjaro, kwa uono na ufikirifu mifumo ni kielelezo cha 'Ujuu wa Siha njema' ya wanataifa. Ujuu ni kielelezo cha 'Fahari ya Mbingu' ama 'Uono wa Juu Kabisa', Mwenge na Bendera kuwekwa Juu ya Kilele cha Mlima Kilimanjaro haikuwa ni tukio la kihistoria tu, ilikuwa ni dhamiri na nadhiri ya utaasisi wa nchi-dola, kwa kujichagulia, kujinasibu na maendeleo ya Utu Bora--Tanzania, Afrika na Ulimwengu wote mzima...
UHURU, UDUGU, HAKI na AMANI, havikadiriki katika taifa kwa nguvu za kibinadamu pekee--binadamu kama mtu anayejitathmini kwa mraba wa 'Wakati-Jamii-Machaguo ya Kitaasisi-Matukio'. Ujinga, Umaskini na Maradhi ya wanajamii hayatokani na 'kutokujua/kufahamu' vema mambo ya milki ya nchi; Ujinga, Umaskini na Maradhi ya wanajamii unatokana pia na kukosa 'Nuru ya Ufahamu' juu ya dhamira na nia ya UTU bora kutoka 'Juu Mbinguni'. Mwanajamii ahitaji Duara na Nukta kwa ajili ya kutangamanisha sura na utukufu wa mienendo na uhai wa Taifa Lake.
Duara na nukta ni ufunguo wa metafizikia ya Taasisi.
Ikizungumzwa kwa mfano historia halisi ya Afrika ina takribani miaka 500 ya kukadirisha Sura na Utukufu wa 'Uhuru na Umoja' na ina miaka mingine takribani 500--hapa tulipo ni 'Mia ya Katikati', swali linaweza kutungika. Je, ni nani huyo mwenye uwezo wa kukadirisha 'Jaala' hii ya Afrika? Maana hakuna mtu anayeweza kuishi miaka elfu... Hata taasisi za wanadamu hazina marefu hayo ya kiuhai, maana maisha ni misuguano na mivutano wakati wote--utohakika wa 'malengo ama/na matamanio' ya ushirika kukadirika kwa vina na tafsiri vya mwanadamu anayeishi umri wa miaka tuseme 75+...
Haya ni mambo ya metafizia ya jamii, yana ILIMU, UFAHAMU na MAFUMBO yake zaidi--zaidi kupita yale tunayoyaelewa katika mapana ya milki ya nchi.. Ikibidi machache kuzungumzwa kuhusiana na mawezakano haya basi ni vema isisitizwe yanazungumzwa kwa ajili kuandaa jamvi la mapinduzi ya kweli na endelevu ya stawi za duniani.
Rushwa ipo na jamii za wanadamu kwa kuwa mwanadamu anaishi na kitete cha matatu (1) Riziki (2) Hofu ya Mauti, na (3) Kutengeneza Urithi/JIna/Legasi. Kwa haya matatu, wengi duniani wanaweza 'kutoa kafara' ya mnyama hata mwanadamu mwenzake kwa ajili ya haya. Vishawishi vya haya matatu ndiyo katika nchi-dola huleta ufisadi, fitina na njama. Dhamira isiyosahihi huleta majaribu katika nafsi ya mtu kwa ahadi ya (1) 'Mali/Utajiri' -- Mkate/Uchumi kwa kujipendelea/Uchumia-Tumbo, (2) Shiriki kutokana na ukosefu wa Imani na ulaghai wa 'ukuu wa kuweza' kupita/kuamurisha 'majini' ama/na 'malaika' -- Kujiangusha Kiroho kwa ajili ya 'Malaika wa Uinuo', (3) Kuacha Jina/Umaarufu/HIstoria -- Ubatili wa fahari ya milki za nchi na utawala wa mambo ya kidunia ya MRABA wa 'HEKALU'.
Hili sasa, linadodosa fumbo kwako mzee Mohamed Said...
Historia ya kweli ya nchi-dola yeyote ni vita ya wazi na kificho--ni bunduki na waridi, msalaba na waridi...
Kubarizi kwenye maisha ya nje ya 'askari wa wakati' kunamsaidia 'Shetani'... Kwa kuwa kiimani, Shetani ndiye anayetawala 'ulimwengu wa majaribu'. Upo upande 'malaika' wa sisi wote ndiyo 'husawazisha' wema na uovu wetu. Ukitaka kutumia shiriki kwa ajili ya 'bahati'--upate 'cheo', upate 'utajiri' ama/na upate 'umaarufu' wewe si 'mja mwema' hasa; kwa kuwa wewe unatafuta kutumikia nafsi yako--unaweza kuficha maovu yako kwa 'usanii' wa cheo, utajiri ama/na 'umaarufu'... Utawavuna ujinga 'maskini wa kiroho' kama ambavyo wewe mwenyewe kwa wakati ni hivyo...
'Matukio' na 'fahari za milki ya nchi', kwa mwanajamii asiye macho/jicho sahihi la hekima ya 'kimbingu', ni mchezo wa danganya toto kula kunde mbichi....
Ni mtihani mkubwa kwa, walinzi wa imani; walinzi wa kweli wa kheri za jamii ni muktadha wa sisi wenyewe kuwa ni tunaishi zaidi kungine nje ya Sayari yetu ya Dunia. Huko ndiko kuna maisha marefu, duniani wanadamu tunaishi miaka 75+, 'huko mbinguni', wapo wanadamu wanaishi miaka 900, mia elfu na hata kupita. Huko mbinguni kuna viumbe watu wanaishi miaka hata 'Milioni' kwa hesabu ya 'miaka ya Duniani'... Kwa hivyo habari za 'majini kuishi miaka maelfu na kuzaliana kama wanadamu', wakati mmoja siku za mbele, isijekuja kushangaza kuja kujua/kufahamu kuwa ni mchanganyiko wa ukweli wa viumbe watu kama sisi, na viumbe watu nusunusu kimawezekano ya 'kujibadilisha maumbo' na 'uwepesi kama upepo'...
Mambo ya Maisha marefu ya 'Malaika' na 'Majini' ndiyo fumbo la imani, kidhamira ya utu, juu ya MRABA wa 'matukio-jamii-machaguo ya kitaasisi, matukio'. 'Malaika' yeyote anayetoa kwa masharti, haleti 'Bahati' yoyote ya kheri khasa bali kuimarisha ngome ya maangusho ya kiroho kwa wanadamu wa 'miraba minne'. Kwa mintarafu ya haya, upo muktadha wa siri ya Uzima wote kuwa 'wema' hauwezi kuwepo pasipo 'uovu', na basi ikiwa kuna wanaotaka waucheze wema--uovu hauna budi kuwepo... Kwamba, 'Malaika' kwa kutumwa kunuia wapo. Kwenye ususi wa utaasi dola, kupitiliza fanusi 'malaika' na 'mapepo/majini/arkoni/ingregori' ni uthabiti wa kuinua juu kabisa 'Mwenge wa Uhuru'--ili umulike mapana yote ya mwangaza na vimvuli(giza) vya nafsi katika mapana ya milki ya nchi...
Mzee Mohamed Saidi, bila shaka, kwenye udadisi wako wa 'Historia ya Harakati ya Kutafuta Uhuru' umekumbana na visa vya usaliti, 'kupotezewa', kupendelewa na kugangamala miongoni mwa 'makundi ya Wanaharakati'...
Ni suala la wahyi na hekima tu, ukiotea rizayati ya Elimu 3.0, na tena ukawa na uono na ufikirifu mifumo, Mwalimu Nyerere na hao Wadau wote wa Uanaharakati, katika mapana ya nyakati hao wote ni 'Waarabu wa Pemba'... Wanafahamiana kwa vilemba kutokea 'Juu Mbinguni'...
Nusu ya pili haijapata kusimuliwa na ikibidi isimuliwe wewe mwenyewe msimuliaji utapotelea kwenye simulizi...
Hmmm
ACHA KUNI'QUOTE MAUPUMBAVU NINA KAZI NYINGI WEWE MWEZANGU UPO HAPO MAGOMENI KIBARAZANI WALA KASHATA TU.Wewe mfuasi wa Nyerere umekamatwa ukiiba ndizi ndiko Nyerere alikowafikisha na ujamaa wake
View attachment 3003646
😛 😛
ACHA KUNI'QUOTE MAUPUMBAVU NINA KAZI NYINGI WEWE MWEZANGU UPO HAPO MAGOMENI KIBARAZANI WALA KASHATA TU.
hiko kibabu kilikua miyeyusho. kipite hivi
hichohichoKibabu Nyerere?
ACHA KUNI'QUOTE MAUPUMBAVU NINA KAZI NYINGI WEWE MWEZANGU UPO HAPO MAGOMENI KIBARAZANI WALA KASHATA TU.
Hapa napo analaumiwa mwalimu?Upumbavu ni huu wa mlevi wenu Nyerere
Devaluation Trend of the Shiling from post cue/Revolution till today:
1966-1972) 1USD = 5 TZS,
1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976 - 1 USD =12 TZS
1977 - 1 USD =12 TZS
1978-82 - 1 USD = 20TZS
1983 - 1 USD = 22 TZS
1984 - 1 USD = 23TZS
1985 - 1 USD = 102 TZS
1986 - 1 USD = 205 TZS
1987 - 1 USD = 207 TZS
1988 - 1 USD = 220 TZS
1989 - 1 USD = 226 TZS
1990 - 1 USD = 265 TZS
1991 - 1 USD = 300 TZS
1992 - 1 USD = 385 TZS
1993 - 1 USD = 434 TZS
1994 - 1 USD = 465 TZS
1995 - 1 USD = 500 TZS
1996 - 1 USD = 580 TZS
1997 - 1 USD = 665 TZS
1998 - 1 USD = 720 TZS
1999 - 1 USD = 800 TZS
2000 - 1 USD = 820 TZS
2001 - 1 USD = 880 TZS
2002 - 1 USD = 900 TZS
2003 - 1 USD = 900 TZS
2004 - 1 USD = 910 TZS
2005 - 1 USD = 1050 TZS
2006 - 1 USD = 1100 TZS
2007 - 1 USD = 1150 TZS
2008 - 1 USD = 1200 TZS
2009 - 1 USD = 1250 TZS
2010 - 1 USD = 1260 TZS
2011 - 1 USD = 1300 TZS
2012 - 1 USD =1450 TZS
2013 - 1 USD =1620 TZS
2014 - 1USD = 1650 TZS
2015 - 1USD = 2210TZS
2016 - 1 USD = 2200TZS
2019 - 1 USD = 2300TZS
2023 - 1 USD = 2502TZS
2024 - 1 USD = 2835TZS
Hapa umethibitisha mwalimu was best kuliko waliomfuata...Upumbavu ni huu wa mlevi wenu Nyerere
Devaluation Trend of the Shiling from post cue/Revolution till today:
1966-1972) 1USD = 5 TZS,
1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976 - 1 USD =12 TZS
1977 - 1 USD =12 TZS
1978-82 - 1 USD = 20TZS
1983 - 1 USD = 22 TZS
1984 - 1 USD = 23TZS
1985 - 1 USD = 102 TZS
1986 - 1 USD = 205 TZS
1987 - 1 USD = 207 TZS
1988 - 1 USD = 220 TZS
1989 - 1 USD = 226 TZS
1990 - 1 USD = 265 TZS
1991 - 1 USD = 300 TZS
1992 - 1 USD = 385 TZS
1993 - 1 USD = 434 TZS
1994 - 1 USD = 465 TZS
1995 - 1 USD = 500 TZS
1996 - 1 USD = 580 TZS
1997 - 1 USD = 665 TZS
1998 - 1 USD = 720 TZS
1999 - 1 USD = 800 TZS
2000 - 1 USD = 820 TZS
2001 - 1 USD = 880 TZS
2002 - 1 USD = 900 TZS
2003 - 1 USD = 900 TZS
2004 - 1 USD = 910 TZS
2005 - 1 USD = 1050 TZS
2006 - 1 USD = 1100 TZS
2007 - 1 USD = 1150 TZS
2008 - 1 USD = 1200 TZS
2009 - 1 USD = 1250 TZS
2010 - 1 USD = 1260 TZS
2011 - 1 USD = 1300 TZS
2012 - 1 USD =1450 TZS
2013 - 1 USD =1620 TZS
2014 - 1USD = 1650 TZS
2015 - 1USD = 2210TZS
2016 - 1 USD = 2200TZS
2019 - 1 USD = 2300TZS
2023 - 1 USD = 2502TZS
2024 - 1 USD = 2835TZS
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia ya Mwalimu na Waislam wa Tanganyika.
Sijui kwa nini.
Kukosekana kwa hili kumeondoa utamu na ladha katika maisha na historia ya Baba wa Taifa kama alivyoishi na watu wa Dar-es-Salaam.
Historia ina kawaida ya kujirudia.
Wakati mwingine mapenzi ya watu kwa viongozi wao yanafika mbali sana.
Sikiliza kisa cha Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU 1954 - 1958:
View: https://youtu.be/cDXRaONNaCY?si=cT3yTTxutMuBv5Gb
Hii kitu inaongea vitu vingi sana ukiamua kujudge kwa mlengo waoHapa umethibitisha mwalimu was best kuliko waliomfuata...
Ameacha 1$ - 102 ila ndani ya mwaka mmoja tu ikafika 205...
Umeamua kumbagaza Mzee Mwinyi bila shaka.
Hapa napo analaumiwa mwalimu?
Hapa umethibitisha mwalimu was best kuliko waliomfuata...
Ameacha 1$ - 102 ila ndani ya mwaka mmoja tu ikafika 205...
Umeamua kumbagaza Mzee Mwinyi bila shaka.
Hebu angalia list hiyo vzr maalim.Mbona yakati za ndg zako katika imaan ndo devaluation inakuwa kubwa?Hapo napo kasababisha Mwalimu?Mbegu unayoipanda ndio mti utauvuna matunda ,
Hebu angalia list hiyo vzr maalim.Mbona yakati za ndg zako katika imaan ndo devaluation inakuwa kubwa?Hapo napo kasababisha Mwalimu?
Ndio, Huko Madrasa nimefundishwa kutokuwa muoga na fisi kama nyinyi mliuburuzwa kwenye umasikini wa kujitakia ulioletwa na huyo mshenzi,Huko madrasa wamekubraiwash vibaya sana.Mwalimu kafariki muda mrefu lakini bado legacy yake inaishi.
Kwa uadilifu na uzalendo unamlinganisha Mwalimu na rais yupi wa Tanzania?
Mose,
Abdul Sykes aliingiwa na hofu Waingereza wasije wakamdhuru Nyerere kwenye chanjo (vaccination) ya safari ya kwenda New York, UNO.
Akamwambia mdogo wake Abbas kuwa yeye ahakikishe kuwa Nyerere anapata "vaccination certificate," bila ya kudungwa sindano.
Akamsisitizia Abbas kuwa hiyo iwe siri kubwa.
Asijue yeyote katika TANU.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa.
Ikabakia kuwa siri.
Sikiliza video hiyo naeleza kisa hiki:
View: https://youtu.be/gvymrDIUhgg?si=gC8FS0R9gbL5uKLv
Wewe mwe.hu?! Mtu kafa 1999Upumbavu ni huu wa mlevi wenu Nyerere
Devaluation Trend of the Shiling from post cue/Revolution till today:
1966-1972) 1USD = 5 TZS,
1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976 - 1 USD =12 TZS
1977 - 1 USD =12 TZS
1978-82 - 1 USD = 20TZS
1983 - 1 USD = 22 TZS
1984 - 1 USD = 23TZS
1985 - 1 USD = 102 TZS
1986 - 1 USD = 205 TZS
1987 - 1 USD = 207 TZS
1988 - 1 USD = 220 TZS
1989 - 1 USD = 226 TZS
1990 - 1 USD = 265 TZS
1991 - 1 USD = 300 TZS
1992 - 1 USD = 385 TZS
1993 - 1 USD = 434 TZS
1994 - 1 USD = 465 TZS
1995 - 1 USD = 500 TZS
1996 - 1 USD = 580 TZS
1997 - 1 USD = 665 TZS
1998 - 1 USD = 720 TZS
1999 - 1 USD = 800 TZS
2000 - 1 USD = 820 TZS
2001 - 1 USD = 880 TZS
2002 - 1 USD = 900 TZS
2003 - 1 USD = 900 TZS
2004 - 1 USD = 910 TZS
2005 - 1 USD = 1050 TZS
2006 - 1 USD = 1100 TZS
2007 - 1 USD = 1150 TZS
2008 - 1 USD = 1200 TZS
2009 - 1 USD = 1250 TZS
2010 - 1 USD = 1260 TZS
2011 - 1 USD = 1300 TZS
2012 - 1 USD =1450 TZS
2013 - 1 USD =1620 TZS
2014 - 1USD = 1650 TZS
2015 - 1USD = 2210TZS
2016 - 1 USD = 2200TZS
2019 - 1 USD = 2300TZS
2023 - 1 USD = 2502TZS
2024 - 1 USD = 2835TZS