Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Wewe mwe.hu?! Mtu kafa 1999
Sasa akifa 1999 ule msingi wa uchumi wa nchi kaujenga nani ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwe.hu?! Mtu kafa 1999
Let say aliharibu hao wote waliokuja wamerekebisha wapi?Sasa akifa 1999 ule msingi wa uchumi wa nchi kaujenga nani ???
Mtakatifu Nyerere ndiye binadamu wa kwanza duniani kuyaunganisha zaidi ya makabila 120 kuwa kitu kimoja.
Mtakatifu Nyerere kila alilolifanya hata kama lilikuwa kosa lilikuwa na nia njema kwa maslahi ya taifa la Tanzania.
Hakuna mbaguzi wa kidini atampenda mtakatifu Nyerere kwa sababu mtakatifu Nyerere angependa kuibadili hii nchi iwe ya dini yake kusingekuwa na wa kumzuia.
Mtakatifu Nyerere alikuwa mzalendo kwelikweli na aliipenda nchi hii upeo.
Mtakatifu Nyerere ndiye nembo ya uadilifu ya bara la Afrika,hakujilimbikizia mali wala kuuza raslimali za taifa letu.
Alichukia wezi,mafisadi, wadini na wajinga wore wenye nia ya kuligawa taifa.
Fikra na mawazo ya mtakatifu Nyerere ziendelee kudumu
Let say aliharibu hao wote waliokuja wamerekebisha wapi?
Msomi huwa hajisifii.Kujisifia ni kutaka kukimbia kivuli chako.Wewe na huyo unayejilinganisha naye kwa usomi ni watu dhalili sana.Mnaotafuta huruma kwa mlango wa din.Huo umuhimu na usomi mnaotaka kujipa huna mzee.Ndio, Huko Madrasa nimefundishwa kutokuwa muoga na fisi kama nyinyi mliuburuzwa kwenye umasikini wa kujitakia ulioletwa na huyo mshenzi,
Na pia kusoma elimu ya dunia ya kiwango cha juu ndani na nje ya nchi , na kukuzidi wewe na ukoo wenu wote, tunaweza kuweka ligi kuhusu hili hapa kama unajiweza ?
Ni kama Mzee Saidi tu alivyopeta kuizunguka dunia kwa usomi wake,
Bozo !Msomi huwa hajisifii.Kujisifia ni kutaka kukimbia kivuli chako.Wewe na huyo unayejilinganisha naye kwa usomi ni watu dhalili sana.Mnaotafuta huruma kwa mlango wa din.Huo umuhimu na usomi mnaotaka kujipa huna mzee.
Weka Cv
Niko tayari karibu msomiBozo !
CV yangu sio ya ajira portal
Kama unataka ligi, tunaweza kuanza na fani yangu ni uhandisi na sayansi
Uko tayari ?
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia ya Mwalimu na Waislam wa Tanganyika.
Sijui kwa nini.
Kukosekana kwa hili kumeondoa utamu na ladha katika maisha na historia ya Baba wa Taifa kama alivyoishi na watu wa Dar-es-Salaam.
Historia ina kawaida ya kujirudia.
Wakati mwingine mapenzi ya watu kwa viongozi wao yanafika mbali sana.
Sikiliza kisa cha Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU 1954 - 1958:
View: https://youtu.be/cDXRaONNaCY?si=cT3yTTxutMuBv5Gb
Ni uhuru wako wa kujieleza tu ambao umeutumia hapa. Ila kwa taarifa yako hizo hizo hoja zako ulizoziweka zina mazuri mengi sana kuliko mapungufu.Baadhi ya mabaya au ubovu wa Mwl. Nyerere:-
1. Kuiga, Kuanzisha na kuendeleza Sera na Itikadi Mbaya kabisa ya Siasa za Ukomunisti/Ujamaa hapa Tanzania.
Huu ndio ulikuwa mwanzo wa Kujenga Msingi mbovu wa Taifa la hovyo kabisa lililopo hivi sasa.
Itikadi na Sera ya Ukomunisti/Ujamaa ikaja kushindwa vibaya Sana huku yeye mwenyewe akishuhudia kwa macho yake kushindwa kwa itikadi yake aliyoileta hapa Tanzania kutoka kwa marafiki zake wa China, Urusi na Cuba.
2. Kutengeneza Taifa la Watu waoga, Wanyonge, dhaifu wa fikra wasiojitambua na Wala wasioweza kuhoji. Taifa la watu 'misukule'.
3. Kutengeneza au kuunda nchi isiyokuwa na Mipango-miji, hususani kupitia kwenye Sera yake mbaya kabisa ya ujamaa/Ukomunisti. Sera au Itikadi hiyo ya Ujamaa/Ukomunisti ndio ilikuwa chanzo Cha Kuanzishwa kwa Azimio la Arusha na Operesheni Vijiji, the Worse Operation that completely destroyed the Country and Town Planning process within the Country.
Arusha Declaration and Operation Vijiji also led to the Death of Real Estate Industry and its development.
Kupitia Itikadi hiyo ya Ujamaa/Ukomunisti, Azimio la Arusha na Operesheni Vijiji, Watu wengi sana walinyang'anywa Ardhi zao pamoja na majumba yao waliyokuwa wakimiliki. Nyumba nyingi sana za Watu zilitaifishwa, Leo hii nyumba hizo zinamilikiwa na Shirika la Nyumba (NHC).
4. Kutuletea Katiba ya nchi ambayo ni mbaya kabisa, isiyofaa na ambayo imesababisha na inaendelea kusababisha madhara makubwa sana kwa Raia. Katiba mbaya ambayo imewatengeneza Watawala wa nchi hii kuwa 'Miungu Watu.'
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia ya Mwalimu na Waislam wa Tanganyika.
Sijui kwa nini.
Kukosekana kwa hili kumeondoa utamu na ladha katika maisha na historia ya Baba wa Taifa kama alivyoishi na watu wa Dar-es-Salaam.
Historia ina kawaida ya kujirudia.
Wakati mwingine mapenzi ya watu kwa viongozi wao yanafika mbali sana.
Sikiliza kisa cha Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU 1954 - 1958:
View: https://youtu.be/cDXRaONNaCY?si=cT3yTTxutMuBv5Gb
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia ya Mwalimu na Waislam wa Tanganyika.
Sijui kwa nini.
Kukosekana kwa hili kumeondoa utamu na ladha katika maisha na historia ya Baba wa Taifa kama alivyoishi na watu wa Dar-es-Salaam.
Historia ina kawaida ya kujirudia.
Wakati mwingine mapenzi ya watu kwa viongozi wao yanafika mbali sana.
Sikiliza kisa cha Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU 1954 - 1958:
View: https://youtu.be/cDXRaONNaCY?si=cT3yTTxutMuBv5Gb
Kaona gere wanataka kobazi mwenzao awe mtakatifuLeo asubuhi my sweet Faiza kamnanga Baba wa Taifa
Msanii,Mzee Said
Naomba unielekeze hiki kitabu nakipata wapi
Kwa mzee Bgoya.Msanii,
Kipo Tanzania Publishing House.
Huyu Mzee udini unamsumbua.Wakati mwingine, tukubali kung'atuka. Hii Viseo Mzee mwenzangu ina ujumbe gani kwetu wasikilizaji. Haieleweki
Ashapuuzwa sasa hata aandike nini watu hawasomiHuyu Mzee udini unamsumbua.
Babu...Ashapuuzwa sasa hata aandike nini watu hawasomi