Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Athari za maji ya kijaniMashinji fyekelea mbali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Athari za maji ya kijaniMashinji fyekelea mbali.
Kunakofuka moshi ufipaLumumba kunafuka moshi
Ndio umeamka kutoka usingiziniKunakofuka moshi ufipa
Tena moshi mkali sana.Kunakofuka moshi ufipa
Aliposema ni mbaya hakumaanisha kuwa yote ni mbaya. Ni baadhi ya vifungu vya sheria ambavyo ilipaswa kufanyiwa amendments. Mfano kweye suala la katiba ya 1977 inaweza kumfanya raisi kuwa dictator, kwa sababu ana mamlaka makubwa sana kwa mujibu wa katiba.Tumia akili vizuri, Nyerere alikiri hadharani kuwa katiba hii ni mbaya! Yaani alijua fika kuwa ni mbaya!
Muda usiwe kigezo cha kiegezo!
huwezi kuhama kwako ukahamia kwingine pasipo kuwa na chochoteExactly. Leo mtu unaambiwa ni fisadi lisilofaa kwa lolote, kesho unaambiwa hilo ndilo the best presidential candidate. Mercenaries wanachoangalia ni pesa.
Huo ndio ubaya wenyewe mkuu!Aliposema ni mbaya hakumaanisha kuwa yote ni mbaya. Ni baadhi ya vifungu vya sheria ambavyo ilipaswa kufanyiwa amendments. Mfano kweye suala la katiba ya 1977 inaweza kumfanya raisi kuwa dictator, kwa sababu ana mamlaka makubwa sana kwa mujibu wa katiba.
Mwaka huu , mtajibeba walaahi, 😄😄😄Ndio umeamka kutoka usingizini
Ni Malaya [emoji23][emoji23][emoji23]Mbali na umalaya wa wanasiasa anasisitiza ni jeshi la wananchi wa Tanzania, sasa hivi tuna kikundi cha jeshi limegeuka mercenary kama anavyosema Nyerere, nalo ni the so called jeshi la polisi.
Hili jeshi sasa hivi si la wananchi au kulinda raia na mali zao limegeuka kikundi cha kulinda maovu ya CCM, wako tayari kusindikiza masanduku ya wizi wa kura zilizoshapigwa tayari. They are non other than mercenary.
Ulikuwa na miaka mingapi wakati Nyerere anatawala..??Hakika anastahili heshima ya "baba wwa taifa"