Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Duh! Kumbe hata mwalimu alishawahi kuwaita malaya?

Huwa nawaita malaya all the time, nilidhani ni kosa kumbe ni kweli na wanastahili kabisa kuitwa hivyo.
Achana na hiyoo sasa, kuna kitabu alikiandika kabla ya kufa unaambiwa lilikuwa ni bomu moja baya sana.
Yule Mmakonde aliagiza kipigwe moto chote na wala kisitoke nje. Tena kuna baadhi ya maneno yake aliyoyasema miaka ya 1990's nilyasoma kwa mtu niliogopa na kusema kama watanzania watayasikia haya kuhusu Serikali basi wataumia sana na mtu kama Raisi Mkapa hawawezi kumpenda kamwe.
 
Duh! Mkuu I wish ningepata hicho kitabu na hizo hotuba! Daah! Hicho kitabu ni Mkapa alipiga kiberiti?
 
Duh! Mkuu I wish ningepata hicho kitabu na hizo hotuba! Daah! Hicho kitabu ni Mkapa alipiga kiberiti?
Nani tena mwenye roho ngumu ya kufanya hivyo kama siyo yeye ?
Mambo mengine huwa tunaacha tu yapite na huwa nachafukwa sana na nyongo kuona baadhi mijitu humu mitandaoni inapiga vigelegele kusifia hovyo watawala utadhani haina akili.
 

kwani mwaka 1967 kulikuwa na vyama vingi?....bure kabisa
 
Kuna mtu alisema ukiwa Kijana na usiwe revolutionary hiyo ni biological contradiction.
 
Naomba title mkuu kama hutojali hata PM
 
Kuna dhana kuwa familia nzima haimkubali mmmakonde
 
Mungu akinijalia ktk miaka fulani nitaandika kitabu chochote kuhusu Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…