Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Huwa nafuatilia sana 'usia wa baba' hii hotuba TBC sijui kama waliwahi kuicheza.

Nilichogundua ni kuwa kwa sasa TBC wanacheza hotuba nyingi ambazo hatukuwahi kuzisikia, hapo nyuma walikuwa wanarudia rudia tu hotuba zake.
 
Malcolm, juzi majuzi hapa ktk uzinduzi wa sera ya Chadema nilisikia kwa mbali Mbowe akimsema Nyerere na sera ya ujamaa nilikuwa kwa mbali na sijapata muda wa kuisiplkiliza yote ktk you tube. Hivi huyu m ribelari angeweza kuendesha nchi na kujenga alichojenga Nyerere kwa u reliberali au ni danganya toto?
 
Huyu hap jamaa nimempata
 
Sasa na ukichangia na ujana ndiyo kabisaa, Too much Testosterone Burning ndiyo kabisaa alikuwa mkaksi.
da unaonekana unamwazo mazuri sana ila tu ndugu naweza kujua kama wewe ni mtanzania au mzungu? maaa mmm lugha ulizotumia
 
Mkuu spare yourself some disappointment.
Usipende kuwaamini wala kuwategemea wanasiasa wa Tanzania.
Hasa hawa wa kizazi chetu, ndiyo kabisaaa usipoteze muda sanaaaa.
 
Tunao wanasiasa leo hii, malaya malaya. Tunawajua. Wananunulika wanahama chama kwa pesa. Malaya malaya hawa.

Wapo, naweza kuwaweka hapa chini, wapumbavu hawa, wendawazimu. Malaya watupu hawa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106]
 
Ni kweli Mkuu? Maana angekichapisha nchi za nje tu. Najua Ben alikuja kuwa adui vibaya sana, ugomvi ukianzia na kubinafsisha na suala la ten percent ya kubinafsisha NBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…