Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Mwenye kamusi ya TUKI anisaidie tafsiri ya neno "MALAYA"
 
Kabla hujaipata number ya Waitara, kwanza si ungewatumia akina Lowasa, Sumaye na Nyalandu, alafuatilia hao wengine. Tuache siasa za kinafiki na kishirikina.
 
Naona hapa kwetu kuna mambo kama hayo wanaendelea wasikie Maneno ya Mwalimu kwamba " wana tabia za kimalaya malaya wana bei,wananunulika, watajuta baadae!".
 
Tunao wanasiasa leo hii, malaya malaya. Tunawajua. Wananunulika wanahama chama kwa pesa. Malaya malaya hawa.

Wapo, naweza kuwaweka hapa chini, wapumbavu hawa, wendawazimu. Malaya watupu hawa.
Inasikitisha Malaya Malaya anapotoka kanda maalumu!!!! Ni Malaya tu!
 
wakihama ccm kwenda upinzani wanaitwa wamejitambua na wazalendo wakihamia ccm wanaitwa malaya so malaya ni hawa

lyatonga mrema
jems mbatia
zito kabwe
kitila mkumbo
juliana shonza
edward lowasa
Frederick, sumaye
na n.k
nchi hii imejaa malaya wengi kama ni hivyo kibaya ni uchama chama
 
Toeni povu ila nyerere anawaumbua mchana kweupeeeee malaya
 
nikupe namba ya lowasa
 
Na kipindi hiki kuna MALAYA wengi sana Mwalimu NYERERE!
 
Baba wa Taifa anaongea kama Lusinde Kibajaji wa Ludewa, misengenyo, matusi na uchochezi.

Anawachochea wana usalama wake wawatie ndani viongozi malaya, wakati kisheria hakuna kosa la kiongozi malaya, Baba wa Taifa hajui maana ya utawala wa sheria.

Halafu anadanganya kwamba wapo, anawajua, atawakamata na akiwakamata atawaambia wananchi, he never did that.
 
Time is a master of everything naona kama wamo waleeeeee
 
Leo hii tunafanya ziara na maburungutu ya noti; wala sio makaratasi ya cheki! Roho ikifurahi maburungutu nje, kwa nini malaya wasijitokeze kujiuza.

Kwa hiyo hali ya kimalaya malaya inaruhusiwa sana wakati huu; ni biashara inayolipa.

Kama wewe ni kiongozi na unajua umepewa nyumba, gari na unalipwa mshahara unalazimishwa na kuhimizwa kuwa malaya kwa kufanya yampendezayo aliyekupa ulaji huo na anakufanya uamini hela ni yake na anaitoa kwa hisani yake.

Chama chote kinakuwa kama gulio la malaya, hakuna anayeguna! Kwa nini malaya wasivune!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…