Siyo kosa lake. Ni mabadiliko ya muda (time change and relevance of the constitution for the specific time). Hakuna nchi ambayo itamlaumu baba wa taifa kwa kuwaachia katiba mbovu. Katiba huwa inabadilishwa/ inatungwa mpya ama kuziba viraka. Katiba ya Tanzania ya 1977 haikutungwa iwe ya milele. Mwalimu asilaumiwe, aenziwe kwa kazi kubwa na ya mfano aliyofanya.Kosa lake kubwa kabisa ni kutuachia katiba mbovu sana tena kwa maksudi kabisa!!
Kwa hilo ninauhakika anajilaumu sana huko aliko.
Utajijuu...Yote sawa kivipi?
Kwa hiyo ukienda Dukani kununua Nguo ni sawa na Nguo imeenda dukani kukununua wewe?
Tumia akili vizuri, Nyerere alikiri hadharani kuwa katiba hii ni mbaya! Yaani alijua fika kuwa ni mbaya!Siyo kosa lake. Ni mabadiliko ya muda (time change and relevance of the constitution for the specific time). Hakuna nchi ambayo itamlaumu baba wa taifa kwa kuwaachia katiba mbovu. Katiba huwa inabadilishwa/ inatungwa mpya ama kuziba viraka. Katiba ya Tanzania ya 1977 haikutungwa iwe ya milele. Mwalimu asilaumiwe, aenziwe kwa kazi kubwa na ya mfano aliyofanya.
Nusu karne baadae yametimia sawiaMwalimu uliyasema haya mwaka 1967 yametimia maono yako haya hadi imekuwa aibu.Sijui ulikuwa unafunuliwa.
Umejibu kama shangingi!Utajijuu...
Huy mzee bado fikra zake zinaishiYaaaaaani hii speech kama imetoka jana kumbe ni ya kitambo,
Fyekelea mbali.Umejibu kama shangingi!
Awamu hii wameongezeka kupita maelezo!Na kipindi hiki kuna MALAYA wengi sana Mwalimu NYERERE!
Hahahaaaaa,hamjambo hapo lumumba?Nani anayefuatakwenye usajili(umalaya)?Nasikia mmetangaza wawahi kabla hamjasitisha zoezi la usajili!Fyekelea mbali.
Bahasha ya kaki.Ukinikumbusha nilisema nini kuhusu Ben Saanane nitakushukuru.
Kwenye kundi la waandishi macenaries mimi sipo, bali mimi ni mwandishi mzalendo ninayefanya kazi ya uandishi kwa kujitolea na kutanguliza mbele maslahi ya taifa japo pia ninasupport zile bahasha zetu za halali
Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa - Pasco wa JF! - JamiiForums
P
Kwisha kazi yenu. Fyekelea mbali.Hahahaaaaa,hamjambo hapo lumumba?Nani anayefuatakwenye usajili(umalaya)?Nasikia mmetangaza wawahi kabla hamjasitisha zoezi la usajili!
Lumumba wenyewe wamenuna,hapo ni polepole,Jiwe na Makonda ndio wanaoshangilia!Kwisha kazi yenu. Fyekelea mbali.