Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Mwl. jk.Nyerere alikuwa hazina na tunu kwa taifa, hekima yake bado ni nuru na muongozo wa kujipima ...viongozi waliopo wapitie maelekezo na nukuu zote za mwalimu kabla ya kupewa majukumu ili tuwe na dira endelevu na elekezi.
 
Mwl. jk.Nyerere alikuwa hazina na tunu kwa taifa, hekima yake bado ni nuru na muongozo wa kujipima ...

viongozi waliopo wapitie maelekezo na nukuu zote za mwalimu kabla ya kupewa majukumu ili tuwe na dira endelevu na elekezi.
 
huyu mzee hatari hawezi tokea kama yeye hata wa kukaribia kumfananisha na yeye
 
Wengi walitoka Kyle Lumumba baada ya kukosa kura za maoni kukatwa ama DODOMA UKIKATWA ndio wanahamia vyama vingine


Hivyo hao wengi ni WASAKATONGE TU
 
Mungu amlaze mahali pema peponi mwl:JKN..Heshima sana kwake.
 
Back
Top Bottom