Juma Jux kanunua helikopta. Hii vita ya Juma Jux, Diamond Platnumz haiwezi

JuZi nilikuta mjadala YouTube. Comments huko, wakenya wanasema msanii tajiri east Africa Ni Bobi wine akifatiwa Na chameleon then akothee
Inawezekana kutokana na exposure waliyonayo Ni kubwa hvyo wanainvest kwenye biashara kubwa..

Lakini waliwahi kujitambua mapema ,waliijua thamani yao hyo iliwapelekea kuingia mikataba minono na makampuni mf chamilion aliingia mkataba na MTN zaidi ya million 200 enzi hizo mwanzoni mwa miaka 2000 wakati huo dully Sykes kalipwa milioni 10 na tigo kwa ajili ya matangazo
Chamilion ameanza kumiliki Escalade muda mrefu Sana kabla hajatoa wimbo wa Jamila..

Ujio wa msanii wetu diamond ndo umechochea wasanii wetu kujitambua kwa kiasi kikubwa,tukubali tukatae diamond kafanya mapinduzi makubwa katika kiwanda Cha muziki bongo

Lahiti Kama kaka/dada zake mf Mr Nice,ferouz,gangwe mob,ay Ali kiba na wengine wengi tu waliofanikiwa wangekuwa wamejitambua mapema nakufungua milango ya mafanikio Kama alivyofanya diamond wasanii wetu wangekuwa mbali kimafanikio
 
Nilipoona TU kichwa Cha habari nikajua we ni mafuta
 
Mtoa mada hapendi maendeleo ya Mond. His post (s) says it all.
1. Ulimsifia Jux kwamba kamzidi Mond kimaisha
2. Uwoya kapanda uber RR
3. Hii post

Mwanaume weee? Yatakuja yakushinde mchana kweupe.
Achana nae, we huoni anaitwa Instagram [emoji23]
 
Mnajaribu kumdidimiza mtu anayeitangaza Tanzania..
Mnajaribu kumdidimiza mtu anayetangaza kiswahili kupitia nyimbo zake..
mnajaribu kumdidimiza mtu anaeajiri watu zaidi ya 100..
mnajaribu kumdidimiza mtu anayeilipa kodi serikali..

Mimi sioni sababu ya kumdidimiza mtu kisa tu wewe umedidimizwa na wanadamu wengine.. PAMBANA NA YOUR OWN MIDIDIMIZO.
 
Bosi mfano wewe unauza pipi. Faida unapata milioni 10.

Na una uhakika wa faida hiyo kila mwezi.

Ukinunua kitu cha milioni 15 leo inakua siyo tatizo kwakua unajua mwisho wa mwezi kuna faida ya milioni 10 itakava hili pengo la milioni 5 au siyo?

Ikatokea ukapata faida pungufu utaona ngoja nikazane mwezi ujao nitakava haya mapengo au siyo?

Kisha unagundua kuna bidhaa mpya inapendwa kuliko pipi zako ndiyo maana wateja wamepungua kwako.

Unatafiti.

Unagundua bidhaa yenyewe ni dawa za kulevya wewe kwa kuona utarukaje ghafla kutoka pipi mpaka dawa za kulevya unabuni kitu kipya ambacho unaona kitawafaa wateja ila kina maadili, tofauti na madawa ya kulevya.

Bado unakosa wateja.

Huku hizo spendings zinaendelea.

Mwisho utaishia wapi?

Sasa hapo kwenye pipi fanya iwe Pop Rap na dawa za kulevya iwe gangsta rap na badala ya wewe weka awe MC Hammer.

Pengine nitaeleweka.

NWA wakina Luniz, Fredr wanarap na kutamka btch, fvck na pussy ni sehemu ya wimbo ila MC Hammer akashindwa kabisa katika 'Have You Seen Her' watu wanatarajia wakute akielezea jinsi gani atammega mtu yeye akaimba ulokole. 'Funky Head Hunter' ilikua na diss track lakini ile diss track hata kanisani mnasikiliza.

Huku mwenzake akimchana kwa matusi yote. Simply jamaa muziki ulimuacha nyuma kizazi kipya kiliteka soko kwa nguvu na ghafla.
 
20 grand in the left
Another 20 in the right
Got my wallet in the back
And that thing packed tight
Credit cards don't need 'em
All the birds won't feed 'em
While I'm sitting at the table just me and family eatin'
E-class on the cell; discussing another mill'.
If it ain't a black truck it's a quarter million Maz'.
 
Hivi nyie mnaoishi ughaibuni mtujuze hivi hata watu wa huko kama wasanii wakinunua city vyao huwa wanatabia kama za kina diamond za kutangaza tangaza au hizi tabia ni za waafrica hususani wale waliokuwa maskini na wakapata utajiri
 
Unamjua Mc hammer, au Mike tyson? Walikua mbingu na ardhi na mondi yaani walikua na hela na umaarufu mara 1000000 ya mondi, walifulia

Kwa hiyo unataka nini?
Unataka Mondi asifanye hayo manunuzi ili asijekufulia ama...!?
Unataka kama ni kununua gari anunue Passo au unataka aishije yani...!??
 
Inayobaki anawambatoea mademu zao haters [emoji1]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Usimfananishe Mondi na vitu vya kijinga.
 
Mimi nahisi Jux atachemsha, Diamond tayari ana fanbase kubwa tena international opportunities anazo nyingi , simchukii Jux but hata nyimbo akizofanys na wasanii wa nje ni chache, napenda Mziki wake though, nyimbo zake zote ni hits hapa Tanzania
 
Kwa hiyo unataka nini?
Unataka Mondi asifanye hayo manunuzi ili asijekufulia ama...!?
Unataka kama ni kununua gari anunue Passo au unataka aishije yani...!??
Jay z wakati hana hela alikua anavaa ma cheni hadi kwenye meno na alikua anataja magari ya kifahari kila verse na show off za kijinga ili watu wajue ana hela wakati hana hela.
Sasa hivi jay z ana hela huwezi kuona kavaa micheni wala hana show off za kijinga kwakuwa hana cha ku prove kuwa ana hela kila mtu anajua ana hela.
Ukiona mtu anatumia sana nguvu kushow kwamba ana hela ujue hana hela hizo ni maigizo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…