Juma Jux kanunua helikopta. Hii vita ya Juma Jux, Diamond Platnumz haiwezi

Tazama hii page inaitwa hyperluxury ni page wanapost maisha ya watu na magari ya wenye maela. Ona hiyo cullinan 2021 nayo ni tofauti ya magari hayo uliyopos kwasababu rolls royce unaweza omba wacustomize gari lako kama unavyotaka. Cullinan zina baadhi ya details zinatofautiana.
Ifike mahali Mond apewe heshima yake, iwe kavunja kibubu au hakuvunja lakini kumiliki hii gari siyo mchezo. Hata hao wenigne akina Mwijaku na HBaba baada ya kugndua kumbe ni cullinan OG 2021, ilibidi wabadili waanze kusema ni used, mara kanunua scrapper kapiga rangi kaipakia kwenye container.
 
Mkuu hiyo Cullinan ya mond ni 2018 details zinabadilika kutokana na year of make. La mondi ni la kiwandani siyo customized, la 2021 la kiwandani liko tofauti na la mondi kwenye details kama nilivyozungushia hapo kwa mbele pia body na dashboard.

Ukiongelea customized Rolls wanachofanya ni bespoke kwa interiors, ila body hawafanyi inabaki same kila model.

Labda wewe unaongelea yale customized na kampuni tofauti kama mansory ambao wanafanya customization ya Gari za bei ghali kama Rolls Royce na Buggati etc wanabadilisha hadi body kits na wao pia huwa wanatoa limited editions na models name wanabadilisha tofauti na official release names za rolls royce.
 
Unaumia.........
 
Nani aliweka hapa landing bill? Siyo wewe mkuu? Ile landing bill imeandikwa gari ni ya mwaka gani mkuu?
Jambo linalofanya rolls royce kuwa moja kati ya gari za kifahari ni kwamba mambo mengi hayafanywi na robots bali watu mfano kupiga rangi, stitches na mengine.
Hapana rolls royce wao ukitaka wakufanyie customization wanakufanyia. Ila ya diamond haijawa customized, na ni rolls royce ya 2021. Ni kama hiyo ya kwenye picha kulia na unaona inatofautiana kidogo na show ya mbele ya cullinan ya upande wa kushoto juu. Lakini zote ni cullinan 2021
 
Reactions: Qwy
Mkuu huenda huyo Jux hata hashindani na Diamond anaishi maisha yake tu, ila haters wa diamond wanajaribu mshindanisha na kila wanayemuona maana kila wanayemtumia wanafail inabidi watafte mwingine.
[emoji817][emoji3581]
 
ata ww unamshabikia dada mond
Kuna tofauti kubwa kati ya kushabikia na kuwa realistic, humu kuna wanao comment kiushabi na kuna wanao comment kutokana na uhalisia wa situation iliyopo.
Nadhani hivi vitu huendana na upeo wa akili ya mtu, mtu mwenye akili timamu hawezi kulinganisha mafanikio ya Sadala na mwanamuziki yoyote hapa Tanzania kuanzia waliopo mpaka waliopita.
 
Kwakuwa mnapenda kubishana na mimi nnachofanya ni kuwaelimisha tu ukweli sina chuki na mtu napenda kuweka sawa
Huko sio kuweka sawa mkuu. Yaani kila post unamhusisha diamond na mali za watu wengine.

Hii kazi kama hulipwi wala huna maslahi yoyoye nayo, basi nachelea kusema una chuki za kijinga sana.
 
Mnapenda kuongelea waliofeli tu, mbona hamtolei mifano ya waliodumu mpaka leo na utajiri wao..?
 
JuZi nilikuta mjadala YouTube. Comments huko, wakenya wanasema msanii tajiri east Africa Ni Bobi wine akifatiwa Na chameleon then akothee
Hatujawahi kuwavuka kipesa hao wenzetu wa nchi mbili toka kipindi kile cha juma nature na jay........
 
Mimi nahisi Jux atachemsha, Diamond tayari ana fanbase kubwa tena international opportunities anazo nyingi , simchukii Jux but hata nyimbo akizofanys na wasanii wa nje ni chache, napenda Mziki wake though, nyimbo zake zote ni hits hapa Tanzania
Huyu nae nahisi atakua na biashara labda lakini mziki kama mziki hapana kwa kweli......



Sijui kwanini mimi huwa naamini mziki wa bongo haulipi kama hautajiongeza kwenye endorsement na biashara nyinginezo
 
Huyu nae nahisi atakua na biashara labda lakini mziki kama mziki hapana kwa kweli......



Sijui kwanini mimi huwa naamini mziki wa bongo haulipi kama hautajiongeza kwenye endorsement na biashara nyinginezo
Ana label yake ya boxers inaitwa African boy kama sikosei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…