Juma Lokole vs Stan Bakola wazichapa leo

Kuna mda unaandika vitu vya msingi sana

Kosa lako moja tu
 
Ndio zao hizo baadae unasikia limeandaliwa pambano la masumbwi kati ya huyo mwenye bango na huyo mwenye suti huku kila mmoja akiwa na team yake huku Kajala kule Harmonize... Na watu wanakata tiketi kuingia kwa wingi...
Mjini hapa unashangaa hela ngumu kupata lakini watu hawahami wanaishi tu.

Unaona vi video vya social media hivi kama vichekesho, wenzako wanapiga ngumi fake zinazoleta hela za kweli.
 
Ili mtuzimie mjadala wa lissu na chadema hapana kwa kweli
 
Nataman ujinga kama huu usiwekwe jf ,maana ujinga kama huu kumwabarisha mwanaume rijali Sion haja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…