mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
GSM mungu anakuona
Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM
Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga.
Kufumba na kufumbua anarudi ofisini anakutana na barua ya Thank You
Return to sender
Coastal anaenda kukutana na Yanga bila kocha
Wale wa kubet fursa hiyo,mimi naweka milioni moja Yanga anashinda hii mechi
Kumbuka GSM ndio wadhamini wa Coastal