Know your worth. Msanii wa hadhi ya Juma Nature kwa nchi jirani hata Kenya tu hapo huwezi kumfanyisha show ukamlipa dollar 200. Huo ni uongo bana. π€£Kama wanalipiwa usafiri, msosi, malazi, na stage anapanda chini ya 15 minutes sio mbaya.
Diamond anamjua Nature vizuri. Nature mtoto wa kihuni toka Temeke kwahio masela lazma wawe shazi. Muziki wake unaakisi maisha halisi huwezi kufananisha na miziki ya Big G ya akina Mondi.Nature angekubali tu hiyo maana hata kama ana audience ni wale fungulia dogi yaani timua vumbi afu kingine hio 500k wamempendelea ni kama hisani tu diamond aachane na hawa watu wa hivi wasio na shukrani
Wasafi sindio Clouds hio hio tofauti ni ofisi, badge na wafanyakaziSo nikajua Wasafi imekuja kutatua kero za Unyonyaji wa Clouds.
unamdharau Chinomanawan wakat hela anayoingiza mnachanga ukoo..!!Yaani jf siku hizi hovyo kabisa Unaweza ukaumiza kichwa kumbe unabishana na kitoto cha 2006 kinamtetea rolemodel wake chinomanawan π π π π
Msanii bora ndio chinowanamanSiyo kweli,Hata ukiita wasanii bora ishirini hapa nchini yeye hatakuwepo.alishaapitwa na wakati,
Basi unajikuta mjaaanja.Washamba wengi humu hawamjui Nature, wala sio utoto ni vile kipindi hicho wao walikua sigimbi wanalima magimbi,
Vyuo ndio vimewaleta wengi jijini, basi wanajikuuuuta na wao wamo, ndio utaona michango mingi ya walugaluga wanaona kiroboto anastahili hiyo laki 5.
Kwahiyo wewe ni kibwengo wa zamani.Vibwengo wa leo hawajui kitu, wako ndani ya mtumbwi tu
Nilikula bata sana miaka ile 2000s pale Las Veas Casino Upanga, huku "Mtoto Iddi" inanguruma...
Umekazania kuropoka "watoto wa juzi"Watoto wa juzi hawaelewi uzito wa Nature. That nigga is a tripple OG.
Jukwaani watu hugewa muda.
Mfano dk 20 au 15 kila mmoja.
This means angeifanya kazi labda ya dk 30 kwa kulipwa laki tano.
Sasa tatizo ni kwamba Nature anaamini kwa huo muda yeye anatakiwa labda kulipwa milioni 5 kwakuwa hiyo siku anayogoma kwenda alitengeneza hicho kiasi kwa dakika hizo hizo.
Hichi kiasi ndicho Clouds walikuwa wanalipa wasanii wote wanaokuja kwenye show spesho kwa eneo husika tu na siyo wanaozunguka na show Tz nzima.
Nature ni legend yeah lakini umewahi sikia "If it doesnt make money, it doesnt make sense"?
Show ina wadhamini wanacover yote hayo. Si WasafiUsafiri upo wamekodi ma bus. Hotel wanalipiwa ya kulala na chakula free
Juma nature kazi yake ku perform tu nusu saa
Kafanye show ww ulipwe laki 5Umekazania kuropoka "watoto wa juzi"
As if bado tupo miaka ya 2003 hapa.
Muda unabadilika, someni alama za nyakati. MAFALA
Ndio mmekariri hicho.Nature ndiyo msanii wa kwanza kujaza Diamond Jubilee na nje likabaki shazi kama lote ,Respect The OG.
Nipatie hiyo show uone kama sifanyi.Kafanye show ww ulipwe laki 5
Hela anayoingiza Chino anaweza kukununulia zigo la chupi kiasi usiwe unafua chupi... Wewe ni kuvaa na kutupa kwenye ποΈ maisha yako yote.Yaani jf siku hizi hovyo kabisa Unaweza ukaumiza kichwa kumbe unabishana na kitoto cha 2006 kinamtetea rolemodel wake chinomanawan π π π π
Wamjue iwasaidie nini wakati nyakati zake zilishapita.Wakata viuno hawatakuelewa.
Mitoto ya 2005 haimjui Nature
Watu wanadharau sana aiseee.unamdharau Chinomanawan wakat hela anayoingiza mnachanga ukoo..!!
Nature alishakuwa na heshima kitambo... Pesa haimuongezei chochote.Issue sio pesa Ila heshima na kwenye issue za mjini, ukishakubali 500k , ndio inakuwa gharama yako ya show kwa kila mtu atakaekufuata..
Kwa upande wangu nature yupo sawa kabisa
π π πunamdharau Chinomanawan wakat hela anayoingiza mnachanga ukoo..!!
Hao ndio wakienda kwenye interview wakiulizwa tukupe mshahara shilling ngapi wanasema yoyote lakini baada ya miezi mitatu wanaanza kulalamika mshahara mdogo au mbona fulani analipwa hivi.Wasafi wamemfata wakaona ana hadhi ya laki 5, ye nature kaona sio thamani yake hakuna kesi hapo.