Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Zamani zamani zamani....
🚮🚮🚮
 
Ila inafikirisha sana Unajua hio Poster ya wasafi ilienda Public kabisa Kutangaza kuwa Juma nature kibra atakuwepo Kwenye Show, Je walifanya ivo bila makubaliano ya Kulipana kiasi gani? Mana walimtangaza kabisa au Juma nature alikubali then baadae akatafakari au akashauriwa ndo akapiga Chini?
 
Swali zuri sana hili,bila shaka kuna issue nyingine kabisa na wala sio eti kulipwa laki 5
 
Hiyo number Ndio inamtofautisha bilnass na nature kwenye malipo kabla ya show mashabiki wanaangalia majina Ndio wananunua ticket suala la sijui performance linakuja baadae
 
Issue sio pesa Ila heshima na kwenye issue za mjini, ukishakubali 500k , ndio inakuwa gharama yako ya show kwa kila mtu atakaekufuata..
Kwa upande wangu nature yupo sawa kabisa
Hiyo ya laki 5 kajitangaza yeye mwenyewe akipiga kimya nani angejua
 
Wewe unazungumzia performance kabla watu wanaangalia jina kwanza ndio wananunua ticket je kwenye kizazi hichi nature anauza?
 
Kiki ili tamasha li hit...😅
 
Nakuunga mkono upo sahihi sana kinacho uzwa hapo ni jina kwanza sio unaenda kuperform vipi
 
Kibongo bongo inawezekana na yalishatokea,
Harmonize aliwahi kua na tamasha Tabata kwenye poster akamuweka Jux atakuwepo, kumbe hawakufika makubaliano Jux akammind,

Jux huyo huyo aliwahi kua na show akatangaza Ben Paul atakuwepo kumbe hawakukubaliana Ben Paul akammind,

So huenda walimuuliiza Sir Nature kama yuko fresh kupiga show Ntwara alivyosema poa, wakamuweka kwenye Poster kabla ya makubaliano ya malipo,

Wabongo kuchukuliana poa hilo tunaliweza.
 
Hii analysis ingekuwa sahihi endapo tu, tungekuwa tunazungumzia Twanga pepeta.
Na sio juma nature.
Tuchulie wahudhuriaji wa show ni kuanzia miaka 30 mpaka 23.
Wengi hapo wakati nature yupo kwenye peak walikuwa wanajitambua kuweza kujua mziki mzuri au mbaya.
Huwezi niambia mtoto wa miaka 5 mpaka 12 alikuwa hajitambui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…