Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Hao wasanii sijawahi kuwaelewa na siji kuwaelewa.

Mi sio mtu rahisi kuongopewa.

Nature ni valuable kwenye show asikuambie mtu.

Hawa wasanii wao wanaowaona wanaimba vizuri wengi hawajawahi kuwa na amsha kwenye show. Verse mbili tayari anakunyooshea mic umalizie.
 
Itakuwa we ni kiroboto
 
Hayuko kwenye trend.... anataka alipwe kama walioko kwenye trend?
Angeenda tu.
Ufahamu mdogo. Kuna trend & hadhi (ukubwa). Ukishakuwa msanii mkubwa tayari una fanbase yako, so hata show hufanyi hovyo hovyo, unakuwa selective kwa hadhi yako, knowing msanii mkubwa tayari ameshajijenga kimaisha. Ile show ya Honors ndio inawafaa kina nature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…